Anayefanya kesho tuandamane kwa mara nyingine ni ndugu Samia Suluhu Hassan

Anayefanya kesho tuandamane kwa mara nyingine ni ndugu Samia Suluhu Hassan

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
12,505
Reaction score
40,002
Ndugu Samia Suluhu Hassan ndiye hasa anayefanya kesho tuandamane kwa mara nyingine tena maana hakuna hata moja alilotekeleza.

1. Wafungwa wa kisiasa bado wanashikiliwa

2. Waliotekwa na kupotezwa hawajarudishwa

3. Miili ya wenzetu waliouawa tarehe 29 Octoba bado kitendawili.

4. Hali ya ufisadi ipo pale pale

5. Waliochaguliwa kwa kiini macho wapo maofisini.

6. Hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa kwa wanaotuhumiwa kwa ualifu dhidi ya binadamu.

Ni kwamba ndugu Samia ameendelea kulimbikiza mlima wa lawama. Tukutane field kama ilivyokuwa octoba 29.
 
Kama majaribio yote ya kufa yamefeli yaani kamba ya kujinyonga ilikatika, sumu ya panya ikadunda, ukajirusha kwenye magari yakakukwepa, basi kesho leta kijambio chako tutakutimizia hitaji lako!!
 
Kama majaribio yote ya kufa yamefeli yaani kamba ya kujinyonga ilikatika, sumu ya panya ikadunda, ukajirusha kwenye magari yakakukwepa, basi kesho leta kijambio chako tutakutimizia hitaji lako!!
Wee mwehu tu na huwezi kufanya chochote kile
 
Back
Top Bottom