Anayefikiri kuwa moto wa Arsenal ni wa mabua, ni kama fisi anayemnyatia mtu akidhani mkono wake utadondoka apate kitoweo

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Tunavyozungumza Arsenal anamnyanyasa Tottenham kwa goli mbili kwa sifuri hadi mapumziko!! Anaongoza ligi kwa pointi 8. Moto aliouwasha hauna dalili ya kuzimika, sana sana unazidi makali!! Ni kweli ligi bado sana lakini dalili za mvua ni mawingu!!

Musimu huu Liverpool na Chelsea ni choka mbaya!! Wanazidiwa pointi 19 na Arsenal. Wanashikilia nafasi ya 9 na ya kumi wote wakiwa na pointi 28.
 
Acha waendelee kutusagia sumu, sisi tunachosemaa kila mtu ashinde mechi zake mwisho wa msimu FA wataamua wampe nani kombe hata sisi kombe hatuna shida nalo ila tukipewa tunachukuaa.
 
Tunavyozungumza Arsenal anamnyanyasa Tottenham kwa goli mbili kwa sifuri hadi mapumziko!! Anaongoza ligi kwa pointi 8. Moto aliouwasha hauna dalili ya kuzimika, sana sana unazidi makali!! Ni kweli ligi bado sana lakini dalili za mvua ni mawingu!!

Musimu huu Liverpool na Chelsea ni choka mbaya!! Wanazidiwa pointi 19 na Arsenal. Wanashikilia nafasi ya 9 na ya kumi wote wakiwa na pointi 28.
Duuh
 
Back
Top Bottom