passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,828
- 3,922
Ni ofisini Boss.enjoy maisha yako mkuu
hapo dukani au geto
Ni ofisini Boss.enjoy maisha yako mkuu
hapo dukani au geto
Hapana Boss.Uko Dar es salaam?
hapana mkuu ila inaonesha ni tamthilia ya huzuni kidgo😭😭Ni ofisini Boss.
Unaifahamu hiyo tamthilia?
My husband family! Ifatilie tu ndugu azam 2 saa moja kamiliWakuu habari za uzima na poleni kwa majukumu.
Najua wengi huwa tunafuatilia Tamthilia, maana nyingi hufundisha mambo yanayotokea katika jamii.
sasa mama watoto Huwa ninamuhadithia kuhusu tamthilia ya SIRI, na yeye huwa ananihadithia za Jua kali na zingine nyingi, sasahiv yupo na hii ya Azam.
Wenye kufatilia hii tamthilia mtuhadithie😁.