Anayehitaji kutumia hiace dungu kimkataba at fixed 50k @day

Anayehitaji kutumia hiace dungu kimkataba at fixed 50k @day

Hebu nieleweshe mambo ya tech inaonekana mtu anaweza kupost picha na nisiweze kuona mana sijaweka picha na sioni picha yoyote! Kama kuna aliyefanya utundu ajue kama ameshiba ajue kuna wengine tuko mbion, tusiharbiane. Aliyeona IST anionyeshe
Acha uhuni weka picha ya hiyo hiace... IST yanini kwenye uzi,? Tena ya pink unamaanisha nini?
 
Hebu nieleweshe mambo ya tech inaonekana mtu anaweza kupost picha na nisiweze kuona mana sijaweka picha na sioni picha yoyote! Kama kuna aliyefanya utundu ajue kama ameshiba ajue kuna wengine tuko mbion, tusiharbiane. Aliyeona IST anionyeshe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmecheka sana leo. Mkuu hao wanakuzingua wakimaanisha unatoa tangazo bila kuweka picha ya hiyo gari. Hakuna picha ha IST hapo. Cha kufanya tupia picha ya hiyo hiace mwishowe watakwambia umeweka picha ya probox
 
Nina nissan caravan yangu. Super roof.
Sina muda wa kusimamia kwa hapa dar.
Nahitaji wa kuingia mkataba awe na shughuli binafs kama shule au supllies kwa humu humu jijini. Dereva ni wake. Nahitaji fixed 50k day
50,000 mzee nani atakuletea hiyo pesa nyingi sana.
 
Back
Top Bottom