Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyekuambia wanaume bongo wanagombewa ni nani?
Kwani dada zako wamekosa wanaume bongo?
hahaaaa... Mamndenyi umeamua kumpa za uso..
Little Angel tatizo wakiwa huko majuu wanaona kana kwamba wameshafanikiwa
na watatetemekewa sana, hapa bongo unaweza kupata unachokipenda pia.
ilihali wengi wao wanahangaika tu ili mradi wapo states au europe.. angetumia hiyo nafasi kuwakomboa ndugu zake angefanya la maana sana...
huyo wa greencard nimempata si yule wa .....huwa hawawakumbuki hata ndugu zao na wakirudi bongo wanajifanya wathungu kuongea na wazazi wao kiswangish
ndo zao.
Yupo mmoja tu alifanikiwa kupata greencard yeye ndo walau kabeba familia yote kahamishia huko majuu,
wengine mmmmh.
Aliyekuambia wanaume bongo wanagombewa ni nani?
Kwani dada zako wamekosa wanaume bongo?
sifa za kijinga,tuambieni na kazi mnazofanya huko majuu
huku tunabeba maboksi,tunabanana kweny kichumba kimoja kidogoo,muulizeni mwenzangu chris lukosi chilisosi
Kwenye ukoo wenu hawapo hao single?Wadada wakibongo mlio singo kama unahitaji kudate na Mr Kutoka USA, Hebu ni pm. Tupunguze ili tatizo la kugombea wanaume hapa bongo. lol