Anayehitaji mwenzi kutoka pande za majuu

Anayehitaji mwenzi kutoka pande za majuu

daaa mkubwa umekosea sana bado una zile za kale kwamba ulaya maisha bora mambo yote yapo apa
 
huwa hawawakumbuki hata ndugu zao na wakirudi bongo wanajifanya wathungu kuongea na wazazi wao kiswangish
ndo zao.

Yupo mmoja tu alifanikiwa kupata greencard yeye ndo walau kabeba familia yote kahamishia huko majuu,


wengine mmmmh.

Wanabeba ndugu zao kwenda kuishi kwenye vi apartment vya kukodi, sijui council flats. Wakirudi wanakuta wale waliowaacha wamejenga nyumba za kujistiri, pesa ya kula ipo na maisha yanakwenda. Wao wakiondoka wanafikiri huku sisi tumesimama wima tukiwangoja.!
 
Chaka hili sasa,nani asiyejua Economic crisis imehit vibaya US na Europe huko,hata kazi za kubeba mabox sasa hv ni issue.Wengi wanaotoka Majuu,hawana issue,Wengi wao wana vicertificate tena vinahitaji kuthibitishwa na TCU,yale mambo ya kukimbilia USA miaka ile ya 90.Mtu anarudi sasa na begi la nguo na bad habits(Jamaa wana lugha mbaya wanaona ndio style kila kitu mother....).Mtu anarudi Bongo hana kazi,hana biashara,hana nyumba,hana kiwanja,hana kitu then anatafuta kuoa Mke wa kibongo sasa.Mtoto wa watu unakuta alisoma zake Bongo,amepata zake kiajira (private/publix sector),ana ki-vitz/IST chake,Ameanza kusave anunue kakiwanja kake,jamaa ndio anajidai anataka kudate hapo.Mabinti Msidanganyike na watu wa majuu.


Wadada wakibongo mlio singo kama unahitaji kudate na Mr Kutoka USA, Hebu ni pm. Tupunguze ili tatizo la kugombea wanaume hapa bongo. lol
 
Makaratasi yenyewe huna kazi yenyewe ni box. Sasa utanihonga nini...kama una range rover ningekufikiria
 
Wanabeba ndugu zao kwenda kuishi kwenye vi apartment vya kukodi, sijui council flats. Wakirudi wanakuta wale waliowaacha wamejenga nyumba za kujistiri, pesa ya kula ipo na maisha yanakwenda. Wao wakiondoka wanafikiri huku sisi tumesimama wima tukiwangoja.!

Hahaaaa.....kwa kweli!!
 
Mweeeee.......Sma......mi msandawe wangu simuachiii.....piga uwa.......America nini bana......hata kwenye senema tunaiona.......

Msandwe...teh teh teh Preta bhana eti hata kwenye sinema tunaiona!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom