mzee wa tano
Member
- May 11, 2013
- 15
- 0
daaa mkubwa umekosea sana bado una zile za kale kwamba ulaya maisha bora mambo yote yapo apa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huwa hawawakumbuki hata ndugu zao na wakirudi bongo wanajifanya wathungu kuongea na wazazi wao kiswangish
ndo zao.
Yupo mmoja tu alifanikiwa kupata greencard yeye ndo walau kabeba familia yote kahamishia huko majuu,
wengine mmmmh.
Wadada wakibongo mlio singo kama unahitaji kudate na Mr Kutoka USA, Hebu ni pm. Tupunguze ili tatizo la kugombea wanaume hapa bongo. lol
hebu nirushie watatu fasta
Wanabeba ndugu zao kwenda kuishi kwenye vi apartment vya kukodi, sijui council flats. Wakirudi wanakuta wale waliowaacha wamejenga nyumba za kujistiri, pesa ya kula ipo na maisha yanakwenda. Wao wakiondoka wanafikiri huku sisi tumesimama wima tukiwangoja.!