Anayeifahamu Bar inayouza bia nusu bei anielekeze

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
FB_IMG_1553461332352.jpg

Nimepita Bar kadhaa maeneo ya Tandika Mwembeyanga naona bei ya bia ni ile ile iliyozoeleka , sasa naomba mwenye kujua zinapouzwa nusu bei kama viongozi walivyotuaminisha anielekeze .
 
Kuna baa moja iko hapa stop over maarufu kwa Imma ,wao huwa wanakesha na kufungulia mziki mkubwa usiku kucha .Wananchi tumelalamika hqdi wilayani lakini cha kusngaza hakuna hatua iliyochukuliwa na serikali.JPM tunaamini utawala wako unajitahidi sana kuhakikisha sheria zinafuatwa lakini hii baa ya hapa stop over kwa Imma imeshindikana kabisa,
 
Pita hapa Elements, pia kuna Samaki Samaki pale, Bucketz pamoja na Last minute kwa Uwoya!
 
Kuna baa moja iko hapa stop over maarufu kwa Imma ,wao huwa wanakesha na kufungulia mziki mkubwa usiku kucha .Wananchi tumelalamika hqdi wilayani lakini cha kusngaza hakuna hatua iliyochukuliwa na serikali.JPM tunaamini utawala wako unajitahidi sana kuhakikisha sheria zinafuatwa lakini hii baa ya hapa stop over kwa Imma imeshindikana kabisa,
Kuna mapunga hapo wa kimya kimya ma-hb tunasumbuliwaga!
 
Kuna baa moja iko hapa stop over maarufu kwa Imma ,wao huwa wanakesha na kufungulia mziki mkubwa usiku kucha .Wananchi tumelalamika hqdi wilayani lakini cha kusngaza hakuna hatua iliyochukuliwa na serikali.JPM tunaamini utawala wako unajitahidi sana kuhakikisha sheria zinafuatwa lakini hii baa ya hapa stop over kwa Imma imeshindikana kabisa,
nao wanauza nusu bei ?
 
Hivi hao wamiliki wa hizo bar wauze nusu bei, hivi kwenye wholesale nako wamenunua nusu bei??

Hivi Makonda katika agizo lake, amewaagiza pia Tanzania Breweries nao wauze nusu bei kwa Wateja wao waliofika Leo??

Hayo maneno ya wanasiasa ya majukwaani ya kutaka kuuza sura ni ya kuyapuuza tuu.......
 
Nielekeze vizuri,nipo mkoani nataka nifikie hapo mana sitaki kulala guest,stop over ni ubungo au wapi,huku mikoani tunapenda mikesha kama hiyo tukija hukooor

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hao wamiliki wa hizo bar wauze nusu bei, hivi kwenye wholesale nako wamenunua nusu bei??

Hivi Makonda katika agizo lake, amewaagiza pia Tanzania Breweries nao wauze nusu bei kwa Wateja wao waliofika Leo??

Hayo maneno ya wanasiasa ya majukwaani ya kutaka kuuza sura ni ya kuyapuuza tuu.......
Si inasemekana walitakiwa kupeleka vizibo vya bia kwenye ofisi ya RC ili wakalipwe punguzo lao , imekuwaje tena ?
 
Mm nimetoka Buckets kwny beer festival bei ilikuwa ya kawaida yani bucket 1 kwa elf 30 palikiwa pamechangamka sn totoz za kumwaga

IMG_8722.JPG
 
Kuna baa moja iko hapa stop over maarufu kwa Imma ,wao huwa wanakesha na kufungulia mziki mkubwa usiku kucha .Wananchi tumelalamika hqdi wilayani lakini cha kusngaza hakuna hatua iliyochukuliwa na serikali.JPM tunaamini utawala wako unajitahidi sana kuhakikisha sheria zinafuatwa lakini hii baa ya hapa stop over kwa Imma imeshindikana kabisa,
Dogo. Hebu nielekeze vizuri kwa Imma ilipo. Nina imani ni tofauti na pale kwa Mushi kichaka cha ufuska. Nielekeze fasta nikainuke na chele moja
 
Back
Top Bottom