Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Nimepita Bar kadhaa maeneo ya Tandika Mwembeyanga naona bei ya bia ni ile ile iliyozoeleka , sasa naomba mwenye kujua zinapouzwa nusu bei kama viongozi walivyotuaminisha anielekeze .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna baa moja iko hapa stop over maarufu kwa Imma ,wao huwa wanakesha na kufungulia mziki mkubwa usiku kucha .Wananchi tumelalamika hqdi wilayani lakini cha kusngaza hakuna hatua iliyochukuliwa na serikali.JPM tunaamini utawala wako unajitahidi sana kuhakikisha sheria zinafuatwa lakini hii baa ya hapa stop over kwa Imma imeshindikana kabisa,Nimepita Bar kadhaa maeneo ya Tandika Mwembeyanga naona bei ya bia ni ile ile iliyozoeleka , sasa naomba mwenye kujua zinapouzwa nusu bei kama viongozi walivyotuaminisha anielekeze .
Kuna mapunga hapo wa kimya kimya ma-hb tunasumbuliwaga!Kuna baa moja iko hapa stop over maarufu kwa Imma ,wao huwa wanakesha na kufungulia mziki mkubwa usiku kucha .Wananchi tumelalamika hqdi wilayani lakini cha kusngaza hakuna hatua iliyochukuliwa na serikali.JPM tunaamini utawala wako unajitahidi sana kuhakikisha sheria zinafuatwa lakini hii baa ya hapa stop over kwa Imma imeshindikana kabisa,
nao wanauza nusu bei ?Kuna baa moja iko hapa stop over maarufu kwa Imma ,wao huwa wanakesha na kufungulia mziki mkubwa usiku kucha .Wananchi tumelalamika hqdi wilayani lakini cha kusngaza hakuna hatua iliyochukuliwa na serikali.JPM tunaamini utawala wako unajitahidi sana kuhakikisha sheria zinafuatwa lakini hii baa ya hapa stop over kwa Imma imeshindikana kabisa,
Kivipi mkuu
Nielekeze vizuri,nipo mkoani nataka nifikie hapo mana sitaki kulala guest,stop over ni ubungo au wapi,huku mikoani tunapenda mikesha kama hiyo tukija hukooorKuna baa moja iko hapa stop over maarufu kwa Imma ,wao huwa wanakesha na kufungulia mziki mkubwa usiku kucha .Wananchi tumelalamika hqdi wilayani lakini cha kusngaza hakuna hatua iliyochukuliwa na serikali.JPM tunaamini utawala wako unajitahidi sana kuhakikisha sheria zinafuatwa lakini hii baa ya hapa stop over kwa Imma imeshindikana kabisa,
Si inasemekana walitakiwa kupeleka vizibo vya bia kwenye ofisi ya RC ili wakalipwe punguzo lao , imekuwaje tena ?Hivi hao wamiliki wa hizo bar wauze nusu bei, hivi kwenye wholesale nako wamenunua nusu bei??
Hivi Makonda katika agizo lake, amewaagiza pia Tanzania Breweries nao wauze nusu bei kwa Wateja wao waliofika Leo??
Hayo maneno ya wanasiasa ya majukwaani ya kutaka kuuza sura ni ya kuyapuuza tuu.......
mkuu tofautisha ofa na punguzo
Huwa nasema ukweli watz akili zetu bado sana.View attachment 1053315
Nimepita Bar kadhaa maeneo ya Tandika Mwembeyanga naona bei ya bia ni ile ile iliyozoeleka , sasa naomba mwenye kujua zinapouzwa nusu bei kama viongozi walivyotuaminisha anielekeze .
Dogo. Hebu nielekeze vizuri kwa Imma ilipo. Nina imani ni tofauti na pale kwa Mushi kichaka cha ufuska. Nielekeze fasta nikainuke na chele mojaKuna baa moja iko hapa stop over maarufu kwa Imma ,wao huwa wanakesha na kufungulia mziki mkubwa usiku kucha .Wananchi tumelalamika hqdi wilayani lakini cha kusngaza hakuna hatua iliyochukuliwa na serikali.JPM tunaamini utawala wako unajitahidi sana kuhakikisha sheria zinafuatwa lakini hii baa ya hapa stop over kwa Imma imeshindikana kabisa,