Anayeifahamu shule nzuri ya chekechea hadi elimu ya msingi jijini mMbeya anijuze!!

UMUNYU

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2017
Posts
726
Reaction score
564
Ninaomba mwenye uelewa wa shule nzuri kielimu kuanzia chekechea hadi msingi Ninaomba anijulishe,jina la shule ,gharama zake na hata namba za simu kwa jijini Mbeya Ninaomba anijuze tafadhali!Mwanangu nilimpeleka kwenye shule moja hivi,nilichokuta watoto wanalishwa kama chakula,sina hamu tena!!Wazazi tufuatilie maisha ya watoto wetu huko shuleni!Fanyeni ziara za kushtukiza mtakuja kunishukuru!!
 
Unamaanisha nini mbona kama swali na jibu haviendani??
 
Ninaomba mwenye uelewa wa shule nzuri kielimu kuanzia chekechea hadi msingi Ninaomba anijulishe,jina la shule ,gharama zake na hata namba za simu kwa jijini Mbeya Ninaomba anijuze tafadhali!Mwanangu nilimpeleka kwenye shule moja hivi,nilichokuta watoto wanalishwa kama chakula,sina hamu tena!!Wazazi tufuatilie maisha ya watoto wetu huko shuleni!Fanyeni ziara za kushtukiza mtakuja kunishukuru!!
Umoja Primary School (Uzunguni),ilikuwa vizuri enzi hizo ,sina uhakika ikoje sasa.
 
Back
Top Bottom