R Rweza79 JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 207 Reaction score 47 Aug 5, 2012 #1 Nimeitwa kwenye interv. Next wk na tume ya mionzi Arusha, plze naomba yeyote anayeifahamu vizuri anijuze, nini maana ya mshahara wa PRSS 1 na sh. Ngapi? Kuna maslahi gani mengine tofauti na mshahara? Ni hayo tu wapendwa.
Nimeitwa kwenye interv. Next wk na tume ya mionzi Arusha, plze naomba yeyote anayeifahamu vizuri anijuze, nini maana ya mshahara wa PRSS 1 na sh. Ngapi? Kuna maslahi gani mengine tofauti na mshahara? Ni hayo tu wapendwa.