Anayeijua App nzuri ya kukata online tickets za mabasi hapa Tanzania anijuze

Anayeijua App nzuri ya kukata online tickets za mabasi hapa Tanzania anijuze

UMUNYU

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2017
Posts
726
Reaction score
564
Naomba anayeijua app nzuri ya kukatia online tickets za basi hapa Tanzania anijuze tafadhali! Nimejaribu app ya e-ticket kilichonipata sina hamu kabisa!!!
 
Sijaelewa swali lako!Inamaana unamaanisha kuna App za mabasi mfano yanayotoka Dar-Moro,na zingine za mabasi ya Dodoma -Mwanza?
Kwa nilivoelewa, anataka kujua lengo au dhumuni lako kwenye iyo App ni nini? Ujue mabasi yanayoenda mikoa flani, au unataka kukata tiketi, au unataka kujua nauli au uone mapungufu ya izo Apps?

Hayo mawazo yangu tu.
 
www.tiketi.com angalia hii tovuti
Hiyo nimeangia imenipeleka ujerumani
Kwa nilivoelewa, anataka kujua lengo au dhumuni lako kwenye iyo App ni nini? Ujue mabasi yanayoenda mikoa flani, au unataka kukata tiketi, au unataka kujua nauli au uone mapungufu ya izo Apps?

Hayo mawazo yangu tu.
Nataka kwa safari za Mbeya-Kigoma,Kigoma-Dar,Dar-Mbeya
 
Huwa sina haja ya kwenda kukata tiketi ofisini ni mwendo wa online tu. Unachagua siti unayotaka.
 
Mabasi ya Morogoro na Dodoma, Abood Bus na Shabbiby nadhani ndio wenye utundu huo lakini bado utakuta wewe umekata mtandaoni na konda nae kauza siti uliyonunua mtandaoni mtafaruku huo huamuliwa ndani ya basi 😆
Kwingine kote kunako vumisha tiketi mtandaoni ni mbwembwe na usanii wa Bongo tu ....Hamna kitu!!.
 
Naomba anayeijua app nzuri ya kukatia online tickets za basi hapa Tanzania anijuze tafadhali! Nimejaribu app ya e-ticket kilichonipata sina hamu kabisa!!!
Tickets.se opodo.com momondo.com travellink.com
 
Back
Top Bottom