ufumawicha
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 504
- 209
Iwe funzo, we unaumwa unaanzia fathergate?
Nenda Aghakan hapo uhindini krb na posta mkuu
Mkuu Aghakan iko wapi au eneo gani hapa MBEYA?Naomba unielekeze mimi niko hapa Iyunga.
Kuna zahanati moja iko mbeya nyuma ya hotel ya GR maeneo ya Soweto wako vzr ila jina nimesahau. Cheki ancers
Aghakan ipo uhindini jirani na posta. Ukitokea iyunga km unakuja mjini upo kwa daladala njoo mpk RETCo au sigara ni jirani na hapo.