Leo mapovu mliaminishwa vitu hamna uwezo navyo mwisho wenu hapo mshukuru Mungu rudini kwa ihefuSimba Ndio wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye club Bingwa Africa Kwa Sasa
Anayebeza mafanikio ya Simba
Akaanzishe team yake, aipeleke fainali na sio kulalamika tuuu
Kwa upande wangu naona Simba kufika Robo fainali sio mafanikio ukizingatia walishafanya hivyo mara kadhaa. Wangeendelezea walipoishia kama anavyoendeleza Yanga.
Leo mapovu mliaminishwa vitu hamna uwezo navyo mwisho wenu hapo mshukuru Mungu rudini kwa ihefu
Sasa wako robo kesho wana draw.....nusufainaliMwisho wa Yanga ilikuwa match za awali
Kwenye mashindano gani?Sasa wako robo kesho wana draw.....nusufainali
Kombe is Azam mkuu
Ihefu walimkeketa mtu.Otea ni nani?Siandiki kukufurahisha.Leo mapovu mliaminishwa vitu hamna uwezo navyo mwisho wenu hapo mshukuru Mungu rudini kwa ihefu
Yanga endapo ikichukua kombe la CAFCC msimu huu, hoja ya kutokuwa makundi tangu 1998 itakuwa imezikwa rasmi na kuweka historia mpya ya timu ya kwanza kutoka Africa Mashariki kuchukua kombe la CAF.Kaanzishe team yako
Yanga anayaendeleza kwa kutokufika makundi Tangu 1998, Simba Nayo iige?