Anayeilaumu Simba kwa kufikia Robo fainali atupishe

Anayeilaumu Simba kwa kufikia Robo fainali atupishe

Simba Ndio wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye club Bingwa Africa Kwa Sasa

Anayebeza mafanikio ya Simba

Akaanzishe team yake, aipeleke fainali na sio kulalamika tuuu
Leo mapovu mliaminishwa vitu hamna uwezo navyo mwisho wenu hapo mshukuru Mungu rudini kwa ihefu
 
Kwa upande wangu naona Simba kufika Robo fainali sio mafanikio ukizingatia walishafanya hivyo mara kadhaa. Wangeendelezea walipoishia kama anavyoendeleza Yanga.
 
Kwa upande wangu naona Simba kufika Robo fainali sio mafanikio ukizingatia walishafanya hivyo mara kadhaa. Wangeendelezea walipoishia kama anavyoendeleza Yanga.

Kaanzishe team yako

Yanga anayaendeleza kwa kutokufika makundi Tangu 1998, Simba Nayo iige?
 
😅😅😅😅
 
Attachments

  • Screenshot_20230429-161028.png
    Screenshot_20230429-161028.png
    164.5 KB · Views: 2
Sawa lkn sasa ndo mumuambie yule kipa wenu arukie upande mmoja tu Kama anadaka peremende..??🤣
 
Mafanikio nikuongeza kitu kipya ambacho hukuwa nacho........sasa Simba wanaishia tu pale pale ni tu.... halafu mnashangilia
 
Siku zote wezo wa mwisho kabisa wa simba kwenye haya mashindano, ni robo fainali. Hivyo hakuna sababu ya kukamatana uchawi.
 
Kaanzishe team yako

Yanga anayaendeleza kwa kutokufika makundi Tangu 1998, Simba Nayo iige?
Yanga endapo ikichukua kombe la CAFCC msimu huu, hoja ya kutokuwa makundi tangu 1998 itakuwa imezikwa rasmi na kuweka historia mpya ya timu ya kwanza kutoka Africa Mashariki kuchukua kombe la CAF.
 
Back
Top Bottom