Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu kinachefua kama hili suala la kujenga viwanja vya wazi? Miaka ijayo watu wataishije sehemu isiyo na uwazi wowote. Kwa nini wasiende kujenga pembeni ya mji kwenye maeneo? Huu ni wendawazimu.Maeneo ya wazi siku hizi watu wanajitwalia tu
Hananasifu shule ya msingi kuna ujenzi unaendelea hivi sasa
Kuna jengo kubwa la ghorofa,
Pembeni ya hilo ghorofa kulikuwa ni eneo la wazi ambapo watoto wa shule ya msingi hasa chekechea walitumia kufanyia michezo yao.
Leo kuna ujenzi tena unaenda kasi zaidi.Hata kibao cha ujenzi hakipo.
Ni hela yako tu.Ukijua kupitia mlango wa nyuma mbona hata katikati ya bahari unaweza kupewa himaya ukajenga,
Ujenzi unaenda kasi sana. Nahisi ni nyumba ya mtu binafsiHakuna kitu kinachefua kama hili suala la kujenga viwanja vya wazi? Miaka ijayo watu wataishije sehemu isiyo na uwazi wowote. Kwa nini wasiende kujenga pembeni ya mji kwenye maeneo? Huu ni wendawazimu.
Awamu ya pili= awamu ya nne = awamu ya sita kwenye maeneo ya waziMaeneo ya wazi siku hizi watu wanajitwalia tu
Hananasifu shule ya msingi kuna ujenzi unaendelea hivi sasa
Kuna jengo kubwa la ghorofa,
Pembeni ya hilo ghorofa kulikuwa ni eneo la wazi ambapo watoto wa shule ya msingi hasa chekechea walitumia kufanyia michezo yao.
Leo kuna ujenzi tena unaenda kasi zaidi.Hata kibao cha ujenzi hakipo.
Ni hela yako tu.Ukijua kupitia mlango wa nyuma mbona hata katikati ya bahari unaweza kupewa himaya ukajenga,
Hahahaaaaa. We jamaaNi MIMI.
Nauliza nani amemng'oa Look V meno?Habari wadau! Naona uwanja wa Biafra unamegwa tu kadri siku zibavyozidi kwenda mbele! Najiuliza ni Serijali yenyewe inayoua kile kiwanja cha michezo au tajiri gani haswa?
Pale Biafra ni makao ya vibaka na Wala unga Bora wajenge tu mapusha wengi hukoDah! Inauma sana aisee....nimecheza sana mpira pale. Itafika hatua kizazi hiki kitaishia kucheza playsation na kuangalia movie tu majumban mwao hakutakuwa tena na maeneo ya wazi ya kujiachia kama zamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maeneo ya wazi siku hizi watu wanajitwalia tu.
Hananasifu shule ya msingi kuna ujenzi unaendelea hivi sasa
Kuna jengo kubwa la ghorofa. Pembeni ya hilo ghorofa kulikuwa ni eneo la wazi ambapo watoto wa shule ya msingi hasa chekechea walitumia kufanyia michezo yao.
Leo kuna ujenzi tena unaenda kasi zaidi. Hata kibao cha ujenzi hakipo.
Ni hela yako tu. Ukijua kupitia mlango wa nyuma mbona hata katikati ya bahari unaweza kupewa himaya ukajenga.