Anayejenga uwanja wa Biafra ni nani? Sio eneo la wazi lile?

Anayejenga uwanja wa Biafra ni nani? Sio eneo la wazi lile?

Wanafiki kazini hii nchi bora wazungu warudi kutawala tena maana kila raisi anapigwa vita mnataka muongozwe na malaika
 
Miaka yetu siku za sikukuu tulikua tunaenda kubembea viwanja hivyo, ilikua raha watoto wa mji mzima mnakutana, michezo ya kila aina chini ya uangalizi wa wazazi au walezi,

Leo hii siku za sikukuu watoto wanaranda randa barabarani hawana hata pa kwenda kuchezea maskini.
 
Maeneo ya wazi siku hizi watu wanajitwalia tu.

Hananasifu shule ya msingi kuna ujenzi unaendelea hivi sasa

Kuna jengo kubwa la ghorofa. Pembeni ya hilo ghorofa kulikuwa ni eneo la wazi ambapo watoto wa shule ya msingi hasa chekechea walitumia kufanyia michezo yao.

Leo kuna ujenzi tena unaenda kasi zaidi. Hata kibao cha ujenzi hakipo.

Ni hela yako tu. Ukijua kupitia mlango wa nyuma mbona hata katikati ya bahari unaweza kupewa himaya ukajenga.
Sasa huyu nido Ana fanya nini ikulu kama kiti ni kuzito ampishe waziri mkuu ,kwa habari ya chini ya kapeti coco beach nayo inakwenda kwa mapedejee
 
TANZANIA NDIYO NCHI PEKEE ISIYETAMBUA UMUHIMU WA MAENEO YA WAZI
WATU HAWANA SEHEMU ZA KWENDA KUCHEZA MICHEZO
NCHI HII INA MAMBO YA AJABU SANA

ova
 
Wanafiki kazini hii nchi bora wazungu warudi kutawala tena maana kila raisi anapigwa vita mnataka muongozwe na malaika
Bryson aliupanga vizuri sehemu za kinondoni
Walipokuja sasa wazee wa kazi shuguli ikaanza

Ova
 
Magufuli keshaondoka zake, hvyo nchi taratibu inarudi ktk zama zake enzi za mkwere
 
Watu tutajenga hadi kwenye geti la kuelekea ikulu
 
Sio kweli.
Juzi nilikuwa ivorycost na Nigeria hali ni mbaya bora hapa kwetu
TANZANIA NDIYO NCHI PEKEE ISIYETAMBUA UMUHIMU WA MAENEO YA WAZI
WATU HAWANA SEHEMU ZA KWENDA KUCHEZA MICHEZO
NCHI HII INA MAMBO YA AJABU SANA

ova
 
Hata Mbezi kiwanja cha mkaaa nako naona sheli n.k
 
Kitambo sanaaaa Biafra ilikuwa pana nyasi na watu wanacheza mpira, na wakati mwingine kulikuwa kunakuja jamaa wa michezo ya kurusha pikipiki
 
Back
Top Bottom