Mponjoli JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 668 Reaction score 158 Feb 10, 2015 #1 Habari wadau. Kama kuna mtu anajishughulisha na biashara ya kuuza maua kwa ajili ya sherehe, misiba nk naomba aniPM niweze kuwasiliana naye. Kuna biashara maeneo niliyopo nataka nimuunganishe. Asante
Habari wadau. Kama kuna mtu anajishughulisha na biashara ya kuuza maua kwa ajili ya sherehe, misiba nk naomba aniPM niweze kuwasiliana naye. Kuna biashara maeneo niliyopo nataka nimuunganishe. Asante