Anayejua anachokisimamia Dkt. Slaa kwa sasa atuambie

nadhani nimeshakuelewa; kwa kurudia uwanja wa Chato nadhani nilibishana na watu watatu huko nyuma kuwa ulipitishwa na bunge. Mmoja alielewa ila akalaumu kuwa serikali iliuweka kwenye bajeti kiujanja kusudi wabunge wasitambue, mmoja hakujibu tena ila nadhnai ni wewe uliuyekmaa mpka kuwa personal asif ulinyangwanya uwanja ule. Kama ni wewe ndugu yangu, usiumize kichwa chako kuwa unakariri nani kaandika nini JF, na kuishia kujidhalilisha kwa kuonyesha temperament mbovu hata kama hatufahamu. Utapata pressure bure; learn to agree to disagree kwenye thread moja na kuhamia thread nyingine.
 
Anasimamia kweli.

Mbowe asipokomaa upinzani utakufa rasmi!
Pole Sana! Hiyo ni fikra potofu na hatari Sana maana hata Magufuli aliamini hivyo matokeo yake yakawa tofauti kabisa, AKAFA YEYE, Nyambafu sake! [emoji91]
 
Twists and turns za hapa na pale ndio yamekuwa maisha ya Dr Mihogo Slaa! Mwanzo akaingia Utume, akawa Padri, yakamshinda akakimbia, akaoa Mara mbili, yakamshinda akatelekeza familia, akaingia siasa CCM akakwama CDM ikampa shavu, akapanda mpaka kuwa KM, akabwaga manyanga na kuwa muumini wa Magufuli iyena iyena! Huyo ndiye Dr. Mihogo Slaa, kwa ufupi ni mtu hana msimamo wa kudumu, hafai kuaminiwa kindakindaki katika maswala ya msingi!
 
Huyu mzee dish haliko sawa, njaa na mambo ya kifamilia yamemfanya awe hivi. Leo kajipa kazi ya utangazaji wa legacy ya wendazake.
 
Nilishakwambia siku nyingi, kichwani mwako kuna tatizo, ule ugonjwa unaowapata wazee, naona bado hutaki kuelewa.

Kama mchango una 'impact', utaachaje kukumbuka alieuchangia, eti kwa vile hapa ni JF, watu hawatakiwi kukumbuka wanachosoma kutoka kwa wengine?
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kwani mbona Ni muda mrefu tunaambiwa upinzani unakufa haufi wanakufa wao, Hata mzee slaa atakufa upinzani atauacha.
Mwenye Chama akifa na Chama kitakufa au atamwachia mwanae
 
Siku ile pale Chato alikua peke yake sana... Kuna kitu najifunza kuwa kwenye maisha bora kusimamia jambo moja la msingi...
Kama wewe ni mpinga uovu simamia hapo sio ukipewa cheo unaanza ku double standard...
Ile democracy ulikua unataka ukiwa Chadema Siku iz imekua ya kiafrika?
Mwisho unakua popo na popoma ndo mana naelewa sasa kwa nini baadhi ya watu kama kina Msigwa waligoma kabisaaa kufikiwa bei... Leo huyu anasema hana Chama
 
Dr Slaa alikuwa upinzani kwa miaka mingi, tena mpinzani wa nguvu.
Akapumzika uongozi na baadaye kuteuliwa kuwa balozi.
Kama ilivyo kazi za serikali, utumishi una mwisho na sasa yuko kijiweni.

Cha ajabu ni matamshi yenye ukakasi kila leo.
Mara anataka idhini ya serikali kumuombea Magufuli, mara sijui alijiona moyoni mwa Magufuli.
Anaongea vitu ambavyo havieleweki utafikiri kuku anayetaka kutaga.
Bado hajatambua kuwa tuko Awamu ya 6!

Dr Slaa ana matatizo gani?
 

Tathmini ya yohana kumhusu Jembe wake huyo ni hii hapa:

Dkt. Slaa akianzisha chama cha Siasa atapata wafuasi wengi
 
Slaa ana wenge
 
Bwashee yani tatizo lako unataka ulihamishie kwa dr Slaa? Kama humwelewi hilo ni tatizo lako la uelewa mdogo, uelewa wako mdogo siyo tatizo lake, jiongeze tu utamwelewa.
 
Bwashee yani tatizo lako unataka ulihamishie kwa dr Slaa? Kama humwelewi hilo ni tatizo lako la uelewa mdogo, uelewa wako mdogo siyo tatizo lake, jiongeze tu utamwelewa.
Ok sielewi, kwa uelewa wangu mdogo.
Sasa wewe unaye mwelewa, na uelewa wako super, hebu tupe undani wa tatizo lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…