Anayejua anachokisimamia Dkt. Slaa kwa sasa atuambie

Anayejua anachokisimamia Dkt. Slaa kwa sasa atuambie

Achaneni na huyu mzee anazeeka vibaya, kwani ile laana inazidi kumtafuna kila kukicha!
Aliasi madhabahu! ile dhambi inamrudi kwelikweli !
josephine mushumbuzi nae kamuasi kama alivyofanya yule wa kwanza!
 
Navyojua kadri mwanadamu anavyozidi kuzeeka ndio akili yake inarudi kuwa kama ya mtoto, hivyo simshangai huyo babu.
Na mzee kazeeka kweli,ila kaongea sahihi kabisa, hajamtukana mtu kasema anavyojisikia km mtanzania wa kawaida tu.
Mambo yako vululu vululu.
 
Binafsi kwangu wanasiasa wote ni wale wale yaani wanasiasa, hususan karne hii hakuna visionaries bali flip floppers...

Ina nikiwa kama mpenda kuchambua issues na sio watu..., najaribu kuona meaning behind ya hio statement to matter nani kaisema...., Nayo ni huenda kutokana na vitu alivyofanya magufuli (ambavyo vilistahili kupingwa) wapinzani walipata hoja ya kupinga (ingawa hapo ninge-counter hata kama hoja wanayo aliwanyanganya platform na kuwapiga propaganda)

Kuhusu mwanzo wa Samia nadhani anataka kusema huenda wengi wameungana nae na kumpongeza hence kuwa kama kitu kimoja (yaani hakuna wanaopinga) Sasa sidhani kama ni hivyo sababu all is well au wameridhika na mediocrity

That's my humble opinion... Wapinzani warudi kwenye issues ambazo ni nyingi zinazomkabili mwananchi na sio kushikia bango issue moja tu..., yaani they can hit on all fronts..., na sababu bado hawana platform (hata kama wanadhani wanayo) basi huenda wajikite katika micro level kuwasaidia wachache pracatically..., Yaani kuna kipindi nilimuona yule Polepole na Mpinzani kuliko Wapinzani (ambao wapinzani naona wanagombana wenyewe kwa wenyewe badala ya kugombana na CCM)
 
Anatafuta apewe nafasi kama ya Mrema uenyikiti wa bodi ya parole apate fedha za kuendesha maisha vinginevyo ataishia. nuymba za mapadre wazee Kurasini ambako hakuna papuchii
 
Huyu Mzee baada ya ccm kumkata kwenye kura za maoni , akaomba kujiunga na Chadema , Chadema ikamsaidia kupata Ubunge na ikampandisha hadi kuwa Katibu Mkuu wa Chama , baadaye mwaka 2015 akashirikiana na Askofu Gwajima kumshawishi Lowassa ajiunge na Chadema , Kamati kuu ikapewa Taarifa na Bwana Lowassa akaingia Chadema na kupitishwa kugombea Urais .

Baada ya Lowassa aliyeletwa na Dr Slaa kupitishwa kugombea Urais , Dr Slaa akajiondoa Chadema kwa Ushawishi wa Mchumba wake na kwa ushawishi pia wa Dr Mwakyembe , akaingia ccm na kuwa mpiga debe wao , akalipwa Ubalozi kwa kazi hiyo ya kupiga debe na kutukana Lowassa na Sumaye , ambao kwa sasa wako wote chama kimoja .

Kwa kufupisha tu nina swali dogo kuhusu huyu Mzee , Juzi alimsifia Dr Magufuli kwa kuwa Mwanademokrasia na kuilaumu serikali kwa kumnyima fursa ya kumuombea alipokuwa Mgonjwa , na kwamba hadi leo moyo wake uko ndani ya magufuli au sijui magufuli ndio yuko kwenye moyo wake .

Sasa hebu msomeni hapa halafu mtueleze kile anachokisimamia .

View attachment 2164960
Hivi ameacha kula mihogo mibichi na maji?😂😂😂😂
 
Hapana, hukuandika hivyo bali hiyo ni tafsiri yangu mimi binafsi kuhusu hili swali hili uliloweka hapa.

Hapana, hukuandika hivyo bali hiyo ni tafsiri yangu mimi binafsi kuhusu hili swali hili uliloweka hapa.
Kama unaweka tafsiri yako katika mambo ninayoandika mimi, basi sina muda nawe kwenye mjadala huu.
 
Yeye na Mkulu haviivi
Anamtumia ujumbe kiaina
Anasumbuka bure ataishia kuwa kama lyatonga
Kama ana busara atulie aishi miaka mingi vinginevyo....
Nilipoona anamuita mwendazake baba nikajua kuna kitu hakipo sawa kwenye medulla oblangata...
Yeye na mwendazake nani baba?
🤣🤣🤣
 
Hiyo ndio shida inapokua pale njaa inapohamia kichwani na akili tumboni.
Anatafuta uteuzi huyo
 
Hiyo ni namna ya kusafisha njia ya kurudi Chadema ili ashirikiane na mwenyekiti kutumia na kutumbua mihela, mtei hayupo mbowe anatumbua kivyake,so mzee anaona ubalozi umeenda,mke kaenda, tumbo lake bado analo na mnuso upo chadema, so kama Lowasa na sumaye waliitwa mafisadi na wakapokelewa, kwanini yeye asipokelewe tena? Kusafisha njia ni sasa,2025 ileeee,huenda akcolabo na chiba
 
Kama unaweka tafsiri yako katika mambo ninayoandika mimi, basi sina muda nawe kwenye mjadala huu.
Inawezekana na wewe ni mmoja wa wanaomanini kuwa sera ni yale matamko ya viongozi wanayofanya majukwaani na kwenye maandamano. Tamko la Mbowe kama Mbowe au kama mwenyekiti wa CHADEMA ni kitu kimoja na sera ya CHADEMA ni kitu kingine. Linaloongelewa hapa ni sera ya CHADEMA siyo matamko ya Mbowe.
 
Inawezekana na wewe ni mmoja wa wanaomanini kuwa sera ni yale matamko ya viongozi wanayofanya majukwaani na kwenye maandamano. Tamko la Mbowe kama Mbowe au kama mwenyekiti wa CHADEMA ni kitu kimoja na sera ya CHADEMA ni kitu kingine. Linaloongelewa hapa ni sera ya CHADEMA siyo matamko ya Mbowe.
Wewe nilijua toka zamani sana kuwa ni mpuuzi..., , lakini naona matatizo yako yamezidi kadri unavyoendelea kuzeeka na kuchanganyikiwa kiakili.
 
Magufuli alipinga Ufisadi ?
ndio alipinga hata sla alipinga ila tatzo la magufuli alipenda sana sifa na majivuno ukimkosoa lazma uwe adui yake, alikuwa apendi kukosolewa na ndo mana alitukandamiza sana upnzani na alikuwa mbinafsi
 
Back
Top Bottom