Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Na wewe umeishiwa unaaza kuleta hadithi za kuhisi na wala hujui maana ya sera.Kwani kujeruhi,kuteka,kuua ni sera?
Sera ni ahadi ambayo mwanasiasa anawapa wapiga kura wake kuwa mkinichagua nitafanya mambo yapi. Sasa basi, leta mfano wa mwanasiasa aliyehutubia wananachi akitangaza hayo unayosema kama siyo maneno yako ya uchochoroni tu. Hisia za namna hii huenda ndizo zinafanya CHADEMA inakosa sera, kwani wanadhani kulaumu ndiyo sera; ni afadhali hata mzee Rungwe ana sera zinazjulikana.