TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Habari wadau.
Mtu anayejua wapi unaweza nunua simu used kwa bei nafuu nje ya nchi katika huu ukanda wetu wa SADC na kuzi import hapa Tz.
Asanteni.
Duh hv kodi si unalipa ile ile kama ukitoa china maana ni non originated product .!
Bei zao zinakuwaje mkuu???Wafanya Biashara wa Arusha wanachukua Nairobi, kule ndo chimbo la simu Ised na pia vitu kama laptop, so inabidi utafute mfanya biashara wa akushike mkono,
Hapo ndio inabd tueleweshane..!Duh hv kodi si unalipa ile ile kama ukitoa china maana ni non originated product .!
Hapo ndio inabd tueleweshane..!