Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Tiba mbadala kutoka kwa watabibu zevezing ni mzevezo, utakufaWeee unataka kumkata mama wa watu miguu;
Kijana mmoja alishauriwa hivyo akiwa na fungus, ugonjwa ukabadilika ukawa kansa;