tufahamishane
Member
- Jun 22, 2024
- 28
- 30
Bado hatujavikabidhi mdaraka na hatujui faida zao mpaka tuwaone wakiwa madarakani kama wenzao ccm tunao wapima.Wana jamvi na kuja kwenu na uliza anayejua tumepata faida gani Tanzania kwa kuwa na vyama vingi atuambie
Tanzania ni nchi ya Kidemokrasia inayofata mfumo wa vyama vingi. Swali je tumepata gani toka mfumo wa vyama vingi
Swali Hilo ligeuze liwe tumepata faida Gani kuwa na mfumo wa chama kimoja Toka 1965 mpaka 1992Wana jamvi na kuja kwenu na uliza anayejua tumepata faida gani Tanzania kwa kuwa na vyama vingi atuambie
Tanzania ni nchi ya Kidemokrasia inayofata mfumo wa vyama vingi. Swali je tumepata gani toka mfumo wa vyama vingi
Vyama havina tija kwa sisi waafrika vinatumiwa na wahuni katika kufanikisha yao, bora tuwe na no-party democracy.Wana jamvi na kuja kwenu na uliza anayejua tumepata faida gani Tanzania kwa kuwa na vyama vingi atuambie
Tanzania ni nchi ya Kidemokrasia inayofata mfumo wa vyama vingi. Swali je tumepata gani toka mfumo wa vyama vingi
Maendeleo na uhuru wa kweli.Wana jamvi na kuja kwenu na uliza anayejua tumepata faida gani Tanzania kwa kuwa na vyama vingi atuambie
Tanzania ni nchi ya Kidemokrasia inayofata mfumo wa vyama vingi. Swali je tumepata gani toka mfumo wa vyama vingi
Safi kwa hoja nzuri.Swali Hilo ligeuze liwe tumepata faida Gani kuwa na mfumo wa chama kimoja Toka 1965 mpaka 1992
Je tunafaida Gani kuwa na ccn Mika 60 tangu tuwe huru
Ukijibu hayo tayari utakuwa umejijibu maswali yako
Wewe ni mjinga,sijui una experience na mfumo wa chama kimoja?Vyama havina tija kwa sisi waafrika vinatumiwa na wahuni katika kufanikisha yao, bora tuwe na no-party democracy.
Ujinga wangu una hoja, kwanza tulikuwa na chama kimoja kwa muda mrefu tija yake labda wewe ndiyo mwenye kuijua, baadaye tukaingia kwenye vyama vingi mpaka sasa tija yake unaijua, kwanini tusiondoe mfumo wa vyama vya kisiasa katika utawala? Pesa zetu tunazitumia kuwalipa mijitu yenye vyama, wao wananufaika na wengi wetu tunaishi kwenye udhalili wa kiuchumi. Let's give Non-partisan Democracy a try.Wewe ni mjinga,sijui una experience na mfumo wa chama kimoja?
Wewe shida yako ni fedha siyo,lakini huangalii mafanikio ya mmoja mmoja na nchi kwa ujumla.Ujinga wangu una hoja, kwanza tulikuwa na chama kimoja kwa muda mrefu tija yake labda wewe ndiyo mwenye kuijua, baadaye tukaingia kwenye vyama vingi mpaka sasa tija yake unaijua, kwanini tusiondoe mfumo wa vyama vya kisiasa katika utawala? Pesa zetu tunazitumia kuwalipa mijitu yenye vyama, wao wananufaika na wengi wetu tunaishi kwenye udhalili wa kiuchumi. Let's give Non-partisan Democracy a try.
Shiriki kwenye siasa za vyama vingi acha kulalamika CCM wanaitafuna nchi au nawe mmoja wao?Wanajamvi na kuja kwenu na uliza anayejua tumepata faida gani Tanzania kwa kuwa na vyama vingi atuambie
Tanzania ni nchi ya Kidemokrasia inayofata mfumo wa vyama vingi.
Swali je tumepata faida gani toka mfumo wa vyama vingi?
PIA SOMA
- Tanzania yenye vyama vingi vya siasa, sawa na Tanzania isiyokuwa na vyama. Nini tatizo?
Ndio maana nasema kila siku ELIMU ya Tanzania ni ya kijinga Sana! Ni Elimu ya kukariri na haikupi uwezo wa kujitakia kimawazo.Wana jamvi na kuja kwenu na uliza anayejua tumepata faida gani Tanzania kwa kuwa na vyama vingi atuambie
Tanzania ni nchi ya Kidemokrasia inayofata mfumo wa vyama vingi. Swali je tumepata gani toka mfumo wa vyama vingi
Shida yangu ni hali mbaya ya wengi wetu kiafya, kielimu, kijamii na yote haya yanasababishwa na uchumi wetu kuwa mbaya ilhali tuna utitiri wa mali ghafi, tuseme ukweli, nchi imezungukwa na maziwa na mito, lakini bado kuna sehemu hakuna huduma ya maji safi na salama, ardhi kubwa tuliyojaaliwa bado kuna sehemu hazina chakula cha kutosha, elimu yenye manufaa haitolewi badala yake tunakaririshwa mambo ambayo mtu anamaliza chuo anazurura na makaratasi kazi hakuna na hawezi kujiajiri, tuna mifugo ya kutosha leo mtu kula nyama ni anasa, bahari na maziwa tuliyo jaaliwa tunashindwa hata kula samaki. Kuna mtu analipwa 20,000,000/- kwa mwezi na kuna mwingine analipwa 100,000/- kwa mwezi, huoni tunashindwa hata kujipangia vipato vyetu na ndiyo maana ruhswa inaongezeka, uminywaji wa haki unaongezeka, hali ya usalama siyo nzuri sana kwani bado watu wanaibiana vitu vidogovidogo.Wewe shida yako ni fedha siyo,lakini huangalii mafanikio ya mmoja mmoja na nchi kwa ujumla.
Imejitengenezea maendeleo kwa sababu ya Mfumo wa Vingi.Shida yangu ni hali mbaya ya wengi wetu kiafya, kielimu, kijamii na yote haya yanasababishwa na uchumi wetu kuwa mbaya ilhali tuna utitiri wa mali ghafi, tuseme ukweli, nchi imezungukwa na maziwa na mito, lakini bado kuna sehemu hakuna huduma ya maji safi na salama, ardhi kubwa tuliyojaaliwa bado kuna sehemu hazina chakula cha kutosha, elimu yenye manufaa haitolewi badala yake tunakaririshwa mambo ambayo mtu anamaliza chuo anazurura na makaratasi kazi hakuna na hawezi kujiajiri, tuna mifugo ya kutosha leo mtu kula nyama ni anasa, bahari na maziwa tuliyo jaaliwa tunashindwa hata kula samaki. Kuna mtu analipwa 20,000,000/- kwa mwezi na kuna mwingine analipwa 100,000/- kwa mwezi, huoni tunashindwa hata kujipangia vipato vyetu na ndiyo maana ruhswa inaongezeka, uminywaji wa haki unaongezeka, hali ya usalama siyo nzuri sana kwani bado watu wanaibiana vitu vidogovidogo.
Mandeleo ya mtu mmoja mmoja ukiyaangalia nyuma ya pazia utakuta kuna uvunjifu wa sheria mpaka mtu ndiyo aweze kutoboa, lakini kihalali tusidanganyane huwezi kutoboa kama si mwizi au ukashirikiana na wezi. Nchi kama Kenya imejitengeneza kimaendeleo katika miundo mbinu na kibiashara lakini sasa iangalie hao wanasiasa wanavyoifikisha Kenya yao.