black_handsome34
Member
- May 24, 2024
- 33
- 46
Ninachokifahamu!
Uwepo wa vyama vingi nchini inaleta chachu ya maendeleo kwa chama tawala kisipotimiza sera za nchi na ilani za chama.
Hivyo kupitia ukosoaji wa vyama ambavyo havijashika madaraka ya serikali kuu, hali hiyo inachukuliwa kama changamoto ya kuboresha huduma za kimaendeleo nchini.
Chapisho zuri la 👉🏾👉🏾👉🏾👇🏾👇🏾👇🏾SoC04 - Tanzania tuitakayo: rasilimali watu kwenye ulimwengu wa sayansi na teknolojia