Anayejua faida ya vyama vingi atujulishe

Ninachokifahamu!
Uwepo wa vyama vingi nchini inaleta chachu ya maendeleo kwa chama tawala kisipotimiza sera za nchi na ilani za chama.
Hivyo kupitia ukosoaji wa vyama ambavyo havijashika madaraka ya serikali kuu, hali hiyo inachukuliwa kama changamoto ya kuboresha huduma za kimaendeleo nchini.
Chapisho zuri la πŸ‘‰πŸΎπŸ‘‰πŸΎπŸ‘‰πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎSoC04 - Tanzania tuitakayo: rasilimali watu kwenye ulimwengu wa sayansi na teknolojia
 
Hata flyover unazoziona au kuzisikia bila vyama vingine zisingekuwapo. Pikipiki zinazogawiwa mikoani zisingekuwapo, barabara zinazojengwa angalau Kwa kiwango cha ilimradi liende zisingejengwa, Viongozi wangekuwa wakipita barabarani tunafunga biashara na shule tukawapigie makofi. Zidumu fikra za waheshimiwa zingezidi, Bwawa la umeme lisingekuwapo, Reli ya SGR ingeisha 2050 au isingekuwapo. Uwezo wa wananchi kutetea masilahi yao yaani WOGA ungezidi. Mambo mengi sana nk nk nk. Huwezi kuyamaliza
 
Kupata mikopo.
Kusifiwa na Ulaya na Marekani.
Chama kimoja kikiringa/kutosikiliza wakubwa wanavyotaka wanakiinua chama kingine na kinakubaliana na masharti ya ulaya na kusaini kila wanchotaka.
 
Faida ya vyama vingi, ninayo ijua mm ni kua na mawazo mbadala, yaani kuna kua na watu katika jamii wanao fikiri njia tofauti za kutuletea maendeleo, hii inatoa nafasi pia hata chama tawala kuto kukaa kizembe.
 
Shiriki kwenye siasa za vyama vingi acha kulalamika CCM wanaitafuna nchi au nawe mmoja wao?
Nimeuliza swali sijalalamika hii ni kwasababu ni metafakali Sana Niki tafuta faida ya vyama vingi sijaiona. Na tamani turudie mfumo wa chama ki moja. Tutapunguza gharama za kuendesha nchi na tutapata faida kubwa sana
 
Nimeuliza swali sijalalamika hii ni kwasababu ni metafakali Sana Niki tafuta faida ya vyama vingi sijaiona. Na tamani turudie mfumo wa chama ki moja. Tutapunguza gharama za kuendesha nchi na tutapata faida kubwa sana
Mmmmhh! Upo serious na unajua kweli umuhimu wa demokrasia ya vyama vingi?!
 

Utakuwa kula kulala kwa shemeji
Nakuona hapo unafungua fridge

Ingia mtaani Anza ku hustle utajua umuhimu wa vyama vingi

Umekaa tu unakula bure unalala bure alafu unakuja kuharisha ushuzi wa maharage
 
Ni kweli kabisa.unakuta mabiloni ya pesa yanaliwa kipindi cha uchaguzi eti kwa ajiri kampeni.mtu kama Mr Rungwe anasima pale mwenge kwenye kagari anasema eti mkinichagua wananchi wote mtakula UBWABWA.anaishia pale mwenge tu na mabilioni anakula
 
Hata mfumo wetu wa vyama vingi ni mazingaombwe na maigizo tu, hakuna chama cha upinzani cha kukishinda chama dola, nasema tena hakuna.
Akili mgando hizi,mbona nchi nyingine vyama vingine vimetawala na maendeleo ni makubwa kuliko ya kwetu.
 
Let me be a cynic about Tanzanian pokitics, which is what you are insinuating.

Unajua asilimia ngapi ya bajeti ya Tanzania inategemea misaada ya kutoka nje?
 
Vyama vingi vina faida lakini hapa kwetu TZ kuna wachumimia tumbo na wanafiki kama wakina Zitto, Msigwa, Lipumba, Mbowe, Mbatia nk.

Mpinzani wa kweli nchi hii ni TAL pekee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…