Anayejua gharama za kutoa vitz bandarini & registration yake.

Anayejua gharama za kutoa vitz bandarini & registration yake.

kijana mgumu

Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
48
Reaction score
15
Kuna gari aina ya VITZ nataka kuinunua kutoka Japan wiki hii.
Engine capacity-1000cc
Year/Month-2001/03
CIF U$1,900

Kwa anayejua gharama za pale bandarini pamoja na registration ya gari na gharama za clearing and forwarding anisaidie.
 
Ni PM mimi nina kampuni ya C&F nitakupa gharama zote tufanye kazi.
 
Back
Top Bottom