kijana mgumu
Member
- Jan 26, 2013
- 48
- 15
Kuna gari aina ya VITZ nataka kuinunua kutoka Japan wiki hii.
Engine capacity-1000cc
Year/Month-2001/03
CIF U$1,900
Kwa anayejua gharama za pale bandarini pamoja na registration ya gari na gharama za clearing and forwarding anisaidie.
Engine capacity-1000cc
Year/Month-2001/03
CIF U$1,900
Kwa anayejua gharama za pale bandarini pamoja na registration ya gari na gharama za clearing and forwarding anisaidie.