kijana mgumu Member Joined Jan 26, 2013 Posts 48 Reaction score 15 May 11, 2014 #1 Kuna gari aina ya VITZ nataka kuinunua kutoka Japan wiki hii. Engine capacity-1000cc Year/Month-2001/03 CIF U$1,900 Kwa anayejua gharama za pale bandarini pamoja na registration ya gari na gharama za clearing and forwarding anisaidie.
Kuna gari aina ya VITZ nataka kuinunua kutoka Japan wiki hii. Engine capacity-1000cc Year/Month-2001/03 CIF U$1,900 Kwa anayejua gharama za pale bandarini pamoja na registration ya gari na gharama za clearing and forwarding anisaidie.
Deus F Mallya JF-Expert Member Joined Jul 28, 2011 Posts 705 Reaction score 441 May 11, 2014 #2 Andaa 1,860USD
S saluti Member Joined Apr 22, 2014 Posts 25 Reaction score 34 May 12, 2014 #3 Ni PM mimi nina kampuni ya C&F nitakupa gharama zote tufanye kazi.