Ukiona hivyo ana hela. Huwezi pata murembo Kama huyo ukiwa brokeWakuu,
Inasemekana bwana harusi alipooza tangu akiwa na miaka saba,Sijui Ugonjwa ulitokana na nini na sijui ilikuwaje akapata mchumba baade akiwa kijana ila akiwa na hali hiohio(Ya kupooza).
Siku ya harusi yao ilibidi hao rafiki zake wasimame nyuma ili kumtegemeza(Support) ili aweze kusimama vizuri kwa ajili ya tukio hilo la ndoa yake.
Sasa kwa anayejua habari kamili atusaidie kujua huyu bwana Harusi alipona au yuko na hali hio mpaka sasa na Ndoa yao inaendeleaje?wana watoto au vipi?
Karibuni.View attachment 2601624
Umenikumbusha mbali sana .....Ngoja Waje Watu Wa SHIHATA (Shirika La Habari Tanzania)
Hao wa nyuma hawana dalili kama wanambeba mtu asiyeweza kusimama.Wakuu,
Inasemekana bwana harusi alipooza tangu akiwa na miaka saba,Sijui Ugonjwa ulitokana na nini na sijui ilikuwaje akapata mchumba baade akiwa kijana ila akiwa na hali hiohio(Ya kupooza).
Siku ya harusi yao ilibidi hao rafiki zake wasimame nyuma ili kumtegemeza(Support) ili aweze kusimama vizuri kwa ajili ya tukio hilo la ndoa yake.
Sasa kwa anayejua habari kamili atusaidie kujua huyu bwana Harusi alipona au yuko na hali hio mpaka sasa na Ndoa yao inaendeleaje?wana watoto au vipi?
Karibuni.View attachment 2601624
Hao wa nyuma hawana dalili kama wanambeba mtu asiyeweza kusimama.
Wanaume siku hizi wanatafuta sababu hata zisizo za ulazima kukaribiana (kimwili) kiasi hiki. Inatisha!
Kumbuka miguu na mikono yote inahusika kwenye lile zoezi.Labda hana tatizo la kiumeni