Anayejua Habari kamili ya hawa wanandoa atusaidie!!

Wakuu,

Inasemekana bwana harusi alipooza tangu akiwa na miaka saba,Sijui Ugonjwa ulitokana na nini na sijui ilikuwaje akapata mchumba baade akiwa kijana ila akiwa na hali hiohio(Ya kupooza).

Siku ya harusi yao ilibidi hao rafiki zake wasimame nyuma ili kumtegemeza(Support) ili aweze kusimama vizuri kwa ajili ya tukio hilo la ndoa yake.

Sasa kwa anayejua habari kamili atusaidie kujua huyu bwana Harusi alipona au yuko na hali hio mpaka sasa na Ndoa yao inaendeleaje?wana watoto au vipi?

Karibuni.View attachment 2601624

Nafikiri inatosha ulivyoelewa, mengine umbea.
 
Hao wa nyuma hawana dalili kama wanambeba mtu asiyeweza kusimama.
Wanaume siku hizi wanatafuta sababu hata zisizo za ulazima kukaribiana (kimwili) kiasi hiki. Inatisha!
Eh? Nyinyi bado mpo huko tu?
 
Wakuu,

Inasemekana bwana harusi alipooza tangu akiwa na miaka saba,Sijui Ugonjwa ulitokana na nini na sijui ilikuwaje akapata mchumba baade akiwa kijana ila akiwa na hali hiohio(Ya kupooza).

Siku ya harusi yao ilibidi hao rafiki zake wasimame nyuma ili kumtegemeza(Support) ili aweze kusimama vizuri kwa ajili ya tukio hilo la ndoa yake.

Sasa kwa anayejua habari kamili atusaidie kujua huyu bwana Harusi alipona au yuko na hali hio mpaka sasa na Ndoa yao inaendeleaje?wana watoto au vipi?

Karibuni.View attachment 2601624
Habari za huzuni huzuni zinakufurahisha sana eh
 
Back
Top Bottom