ANAYEJUA HAYA YAFUATAYO NINAOMBA UFAFANUZI!!!

ANAYEJUA HAYA YAFUATAYO NINAOMBA UFAFANUZI!!!

UMUNYU

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2017
Posts
762
Reaction score
627
Namna ya kufungua na kumiliki akaunti benki kuu ya Tanzania ,namna ya kununua na kumiliki bondi ,faida zake nakadhalika!Nimeuliza hivi kwa sababu ninataka nimshauri kaka yangu afanye nini hasa akijiandaa kustaafu kazi ndani ya miaka 5 ijayo
 
Baadhi ya mawakala wa soko la hisa hushughulikia pia hatifungani za serikali (Gvt bonds).

CRDB pia ni mawakala.

Kazi kwako.
 
Nashukuru Sana!Nitaufanyia kazi huu ushauri
 
Back
Top Bottom