U UMUNYU JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 762 Reaction score 627 Jul 23, 2025 #1 Namna ya kufungua na kumiliki akaunti benki kuu ya Tanzania ,namna ya kununua na kumiliki bondi ,faida zake nakadhalika!Nimeuliza hivi kwa sababu ninataka nimshauri kaka yangu afanye nini hasa akijiandaa kustaafu kazi ndani ya miaka 5 ijayo
Namna ya kufungua na kumiliki akaunti benki kuu ya Tanzania ,namna ya kununua na kumiliki bondi ,faida zake nakadhalika!Nimeuliza hivi kwa sababu ninataka nimshauri kaka yangu afanye nini hasa akijiandaa kustaafu kazi ndani ya miaka 5 ijayo
pmwasyoke Platinum Member Joined May 27, 2010 Posts 5,037 Reaction score 3,923 Jul 23, 2025 #2 Baadhi ya mawakala wa soko la hisa hushughulikia pia hatifungani za serikali (Gvt bonds). CRDB pia ni mawakala. Kazi kwako.
Baadhi ya mawakala wa soko la hisa hushughulikia pia hatifungani za serikali (Gvt bonds). CRDB pia ni mawakala. Kazi kwako.
U UMUNYU JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 762 Reaction score 627 Jul 23, 2025 Thread starter #3 Nashukuru Sana!Nitaufanyia kazi huu ushauri