Alisoma Mugabe Primary school na akawa kaka mkuu mnamo mwaka 2005-2006.
Alihitimu elimu ya msingi 20065 na akajiunga na elimu ya sekondari mnamo mwaka 2007 pale Azania mpaka alipomaliza mwaka 2010.
Utangazaji alianza tangu akiwa darasa la tatu,alikuwa akitangaza kipindi cha watoto wetu pale radio one sterio.