Anayejua historia fupi ya Abdul Mohamed mtangazaji wa Azam

Anayejua historia fupi ya Abdul Mohamed mtangazaji wa Azam

kmbiligi

Member
Joined
Dec 25, 2013
Posts
12
Reaction score
1
Habari,

Naomba kujua nani anayefahamu historia fupi kuhusu mtangazi wa zamani Clouds, BBC na kwa sasa Azam, Abdul mohamed anatokea mkoa gani?

Mwenye uelewa please
 
Unamuulizia Mwanaume mwenzio hivyo unataka nini?

Wewe Mwanaume wa Dsm nini?
 
Alisoma Mugabe Primary school na akawa kaka mkuu mnamo mwaka 2005-2006.
Alihitimu elimu ya msingi 20065 na akajiunga na elimu ya sekondari mnamo mwaka 2007 pale Azania mpaka alipomaliza mwaka 2010.
Utangazaji alianza tangu akiwa darasa la tatu,alikuwa akitangaza kipindi cha watoto wetu pale radio one sterio.

Source:
 
Back
Top Bottom