Ni ajabu sana mpaka leo, wanasayansi hawajaweza kujua idadi kamili ya nywele za mtu. Wana-estimate tu.
Scientists and researchers estimate the average number of hairs based on hair type and color. On average:
Blondes: ~150,000 hairs
Brunettes: ~110,000 hairs
Black hair: ~100,000 hairs
Redheads: ~90,000 hairs
Mungu aliyetuumba, Yeye anaijua idadi kamili ya nywele zetu.
Mathayo 10:30
Hata nywele za vichwa vyenu zote zimehesabiwa.
Ufunuo 4:11
“Bwana wetu na Mungu wetu, wewe unastahili kupokea utukufu na heshima na uweza, kwa maana ndiwe uliyeviumba vitu vyote, na kwa mapenzi yako viliumbwa na vimekuwako.”