Anayejua ilipofikia kesi ya Uhujumu Uchumi iliyomkabili Mwakabibi aliyekuwa DED wa Temeke atuambie

Kwanza nikupongeze kiongozi kwa kuleta hii IDEA..nitaomba hili zoezi liwe ENDELEVU..kesi zote zenye MASLAHI ya UMMA tuweke utaratibu wa kuulizia maendeleo yake..hata wakijafanya hawajali wajue tu tunafahamu

Kwa kuongezea kuna hizi KESI;
I.Mkurugenzi( DED) wa Itigi na kesi ya KUUA
Ii.Kesi ya Mkurugenzi wa zamani RAHCO
Iii.Kesi ya Bwana Peter Noni, naona kashaanza kupata ujumbe wa Bodi mbalimbali
IV.Kezi za Wakurugenzi (DED) Iramba/Mkalama, Ushetu et al + huyo ex DC ambaye alikuwa DED Ruangwa
V.Kesi ya ex MD wa Bandari bwana Kipande, at least hii huwa unapata MREJESHO

Mwisho,
Tukirudi kwa bwana Mwakabibi, ni ukweli kabisa ni KIJANA wa System, na kabla ya huko Kibondo alikuwa Wizara ya Mambo ya Nje, inawezekana kabisa kombe limefunikwa..
 
ELIA MICHAEL
 
Nasikia hakuna kesi wakifukunyua kuna uchafu Mwingi unamrudia no 2...kuwekwa mkononi na matajiri wa TMK wanaofisafi stand kuu TMK isijengwe kwa maslahi yao mapana....data zote zipo wazi ....matajiri wanahujumu stand wanapiga hela ndefu sana kutumia stand zao binafsi...kusafrisha watu na mizigo kwenda kusini.....wameungana...wanamlinda huyokigogo ....system wanajua yote ....
 
Watuambie tu kwamba , kwa vile Mwakabibi ni Mtu wa Kitengo basi kesi yake imefutwa , sisi Watanzania hatuna la kuwafanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…