Usitumie paypal kununua gari, nakushauri ingia tradecarview.com na lipia gari unayoipenda kwa kutumia pay trade, hii ni huduma nzuri na ya uhakika. Inagharimu dola 150 lakini its well woth it... Sina uhakika kama 150 ni flat rate au inavary kulingana na thamani ya gari.
If u insist on using pay pal, fungua www.paypal.com halafu create account, jaza form na soma maelekezo yote utafanikiwa. Hakuna bank yenye huduma ya paypal duniani. Unatakiwa uwe na credit/debit card inayoweza kuprocess electronic transactions kama visa/ mastercard, amex nk...kwahiyo utahamisha hela electronically kutoka kwenye ac yako ya bank kwenda kwenye ac yako ya paypal, then hapo ndio utalipia kutoka paypal... Ni kama unahifadhi hela zako kwenye benki nyingine inayofanya kazi online tu...
Wengine wataendelea kama bado hujaelewa au kuridhika na maelezo.
Pay trade ni salama kabisa, inasimamiwa na tradecarview.hiyo huduma ya PAY TRADE ni salama?
Pay trade ni salama kabisa, inasimamiwa na tradecarview... Ukimlipa muuzaji unawalipa wao kwanza kutoka katika ac yako, ukienda bank na invoice yako, bank wanaelewa nini cha kufanya. Na Trade Car View kupitia Paytrade, wanahakikisha ukidhulumiwa au gari yako isipokufikia kwa sababu zozote zile watakulipa hela zote ulizolipia gari minus their fee (150 usd).
Kumbuka, mawasiliano yako yote na muuzaji gari yafanyike ndani ya mtandao wa tradecarview na sio kungine, msitumiane email direct kwa kupitia huduma kama yahoo mail, hotmail, google mail etc... Create account Trade Car view, na log in kila wakati unataka kuwasiliana na wauzaji...ukishaingia kwenye mtandao wao utaelewa zaidi.
nina wasi wasi na paypal coz niliwahi kusikia kuwa paypal iliingia katika matatizo na bank moja ya huko huko JAPAN
Thank You Mkuu,Umenielimisha na Mimi pia,JF imesheheni Maarifa!!
Hauwezi kuingia humu halafu utoke kapa!!
Hicho kipengele cha kulipwa fidia mambo yanapokuwa yamekwenda Mrama,nani analipa,TradeCar View au Bank yangu?!!!
In late March 2010, new Japanese banking regulations forced PayPal Japan to suspend the ability of personal account holders registered in Japan from sending or receiving money between individuals and as a result are now subject to PayPal's business fees on all transactionsFafanua kdogo kaka, waalingia kwenye matatzo gan? Paypal ni mali ya Ebay, na hawa jamaa reputation yao nadhani unaifahamu. Kabla haujajiunga nao na kutumia huduma zao tafadhali SOMA KWA UMAKINI TERMS AND CONDITIONS! watu wengi hatuna utaratibu huo, matokeo yake baadae tunaanza kulalama. Kwa gari Japan pia nisingekushauri kutumia paypal!
Wakuu,poleni na majukumu,mimi ninahitaji msaada wenu namna ya kufungua akaunti ya PAY PAL .
kazi njema.
Ni rahisi mno, fungua paypal website www.paypal.com
Sign up new account, inahitaji uwe na email address yoyote ambayo unaitumia tayari kwa sasa. Jaza form kwa viruzi
Ni vizuri tu ukafahamu ili kusajilia email addreaa yako kuwa paypal account ni lazima uwe na credit card kama visa (sio ya crdb), au mastercard. Iwe yako au ya mtu alikukuruhusu kuitumia. This means full access to that account
kuwa paypal account ni lazima uwe na credit card kama visa (sio ya crdb), au mastercard. Iwe yako au ya mtu alikukuruhusu kuitumia. This means full access to that account
Local banks hapa kwetu wanatoa visa electron ambazo ni kwa ajili ya ATM services pekeeMkuu kwanini credit card ya CRDB haifai?
Nishawahi kutumia VISA ya crdb.
Local banks hapa kwetu wanatoa visa electron ambazo ni kwa ajili ya ATM services pekee
Paypal hawa support card za aina hii kuwa linked kwenye paypal account cause hawataweza kutoa pesa toka kwenye hiyo account since its not an online account
Ila uanaweza wasiliana na bank yako kuona kama wanaweza enable local account ifanye kazi online, niliomba hiyo crdb last year hawakuweza but mambo yanabadilika kila siku, sina hakika kwa sasa