Anayejua jinsi ya kujiunga na Pay Pal

Anayejua jinsi ya kujiunga na Pay Pal

Una hakika na kutumia visa ya crdb kwenye paypal, how did you go about?

Mkuu kwa hakika inawezekana. Mimi nimeshafanya hii kitu almost a year ago. Kadi yako ya visa ya crdb ikishakuwa activated to accept online purchases, then nenda paypal fanya registration.

Kwenye paypal kuna sehemu utaingiza details za visa card yako. Paypal watafanya verificatiion ya card yako kwa kui-debit kama usd 2, (ambazo baadae watakurudishia). Baada ya hapo paypal watakuaeleza ucheki bank statement ya akaunti yako, ambako utaona reference number/code.

Hii refernce number/code, paypal watataka uingize wakati utakapo log in kwenye kwenye site yao, lengo likiwa ni kuhakiki kama wewe ndio mmiliki wa akaunti pamoja na visa card husika.
 
Mkuu kwa hakika inawezekana. Mimi nimeshafanya hii kitu almost a year ago. Kadi yako ya visa ya crdb ikishakuwa activated to accept online purchases, then nenda paypal fanya registration. Kwenye paypal kuna sehemu utaingiza details za visa card yako. Paypal watafanya verificatiion ya card yako kwa kui-debit kama usd 2, (ambazo baadae watakurudishia). Baada ya hapo paypal watakuaeleza ucheki bank statement ya akaunti yako, ambako utaona reference number/code. Hii refernce number/code, paypal watataka uingize wakati utakapo log in kwenye kwenye site yao, lengo likiwa ni kuhakiki kama wewe ndio mmiliki wa akaunti pamoja na visa card husika.



Nimekupata vizuri, ilipozuka hii hoja nikaamua niwapigie crdb ili kuhakikisha sijapitwa na wakati
wakakubali kuwa nowadays wanaweza. hata mimi nashughulikia kuunganisha USD account yangu ili nifunge account ya baclays ninayoitumia online kwa sasa

Thanks for information
 
Ingawa hii thread ilinipita ila ninaomba msaad nimejaribu kusign up kwenye hyo website ya paypal lakini nashindwa kujua zipcode, pia adress wanazotaka ni hiz hizi za p.o box XXX au vinginevyo?
 
Ingawa hii thread ilinipita ila ninaomba msaad nimejaribu kusign up kwenye hyo website ya paypal lakini nashindwa kujua zipcode, pia adress wanazotaka ni hiz hizi za p.o box XXX au vinginevyo?

Wanaposema adress inamaana eneo wanaloweza kukupata mfano, ''house no 15 mwananyamala komakoma, kinondon'' (adress sio po box)

Zip code haipo tz kunatakiwa kuwe na alternative yake postal code mimi wakiniuliza hivo naeka postal code. na zip code lazma ziwe herufi 5 so kama postal code yako ni 123 please eka iwe 00123 ili zitimie 5
 
Ingawa hii thread ilinipita ila ninaomba msaad nimejaribu kusign up kwenye hyo website ya paypal lakini nashindwa kujua zipcode, pia adress wanazotaka ni hiz hizi za p.o box XXX au vinginevyo?
Zip code:+0255!!
 
Country code!!!!!Zip code!!!!!Mybe it is the same thing?
mii mwenyewe sijaelewa vyema hapo. kwani 255 ndio zip code kweli,???????au ni code no ya simu za nchi yetu. mkuu naomba jazia nyama hapo nikuelewe maana hilo li zip code hata nami huwa linaniacha njia panda
 
Country code!!!!!
Zip code!!!!!
Mybe it is the same thing?

Wamarekani wana tabia ya kujitofautisha na waingereza kila kitu ndio maana wameeka hio zip code ni kama posta flan lakini ina utofauti nenda wikipedia kaisome vizuri.

255 ni country code.
 
lazima uwe na credit au debit card halafu jisajili katika site yao , very simple pia unaweza ukatransfer hela kwenye akaunti ya mtu mwingine ili mradi awe na paypal akauti
 
Tanzania hakuna ZIP Code, ZIP- Zone Improvement Plan. Ni mfumo wa postal codes ambao ulizianzishwa na shirika la huduma za posta la Marekani miaka ya 1963s. Hivyo unapokumbuana na ZIP Code kama upo Tanzania jaribu kuweka Default,N/A or 00255. Athari yake utakuja kuikuta wakati unafanya manunuzi online kwani baadhi ya seller hawa-ship Tanzania au hawatumi kwa P.O.B0x.
 
Waungwana nawezaje kupata account ya pay pal? ? Msaada
 
Ni rahisi sana.
Unachotakiwa kufanya.

1. Hakikisha unayo Mastacard/Visa ambayo imewezeshwa kufanya Manunuzi Online. Nenda bank yako waambie kuwa unataka Card yako uweze kufanya nayo Manunuzi Online, then watkupa form ujaze, watakuambia kuwa Baada ya siku 3 unaweza kuitumia.

2. Card yako ikishawezeshwa kufanya manunuzi Online. Fungua www.paypal.com kisha JisajilI na uweke details zote za Card yako bila uficho wowote. Baada ya hapo watakutumia Confirmation Email ikiwa na Password yako.

3. Baada ya hapo waweza anza shopping kwenye web yoYote ile.

NB: Paypal is the safest way of Online shoping. They do not give your details to third party. Your Info remains confidential with them.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kwa kuongezea kidoGo tu, "Pay Pal" wao ndio wanao Authorize Malipo ya Every Purchase unayo Fanya Online. Pia ni rahisi kwa wao kugundua Fake and roberry Online shopping Websites.

Pia ukijiunga nao, Wakati unafanya manunuzi Online unakuwa huna wasiwasi wa kuibiwa taarifa zako za Kibank na Hackers Walio enea Duniani Kote.

Tatu na Mwisho, Kampuni kama PayPal ziko Nyingi Duniani Kote. Mfano iko Nyingine pia Maarufu kwa jina La "Moneybookers"

Sasa ni ww kuchagua yenye Terms and Condts Nzuri na kisha kujiunga nao. Ila PayPal is the Best among the rest.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Naomba wadau mnieleweshe huu mfumo unafnya VIP kazi hapa bongo land je ni salama ukilinganisha na TT
 
mimi ninaitumia mwaka wa 3 sasa sijawahi kupata tatizo lolote na ndio nafanyia manunuzi ya kwa asilimia 80 kwa internet na mwaka nimeitumia sana huduma hiyo mpaka airline ticket zangu nanunua kupitia PAY PAL
 
Back
Top Bottom