BobKinguti
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 228
- 87
Una hakika na kutumia visa ya crdb kwenye paypal, how did you go about?
Mkuu kwa hakika inawezekana. Mimi nimeshafanya hii kitu almost a year ago. Kadi yako ya visa ya crdb ikishakuwa activated to accept online purchases, then nenda paypal fanya registration.
Kwenye paypal kuna sehemu utaingiza details za visa card yako. Paypal watafanya verificatiion ya card yako kwa kui-debit kama usd 2, (ambazo baadae watakurudishia). Baada ya hapo paypal watakuaeleza ucheki bank statement ya akaunti yako, ambako utaona reference number/code.
Hii refernce number/code, paypal watataka uingize wakati utakapo log in kwenye kwenye site yao, lengo likiwa ni kuhakiki kama wewe ndio mmiliki wa akaunti pamoja na visa card husika.