Utaratibu ni kuwaandikia barua na kuwaambia chuo kimekushinda mkopo wako wampe mwingine mwenye vigezo lakini kwabahati mbaya akakosa.
nitumie jina lako kamili na chuo unachosoma
.
Kama unashida hyo
We ndo usahau kupata mkopo mazima kama hujaenda chuo na mkopo ushatoka angalia loan officer anaweza kuwwa keshainhiz kitu kibindon coz ulisha sign mkataba na Heslb