anayejua jinsi ya kusitisha mkopo wa chuo kikuu

anayejua jinsi ya kusitisha mkopo wa chuo kikuu

wijma

Member
Joined
Jun 27, 2013
Posts
86
Reaction score
2
msaada wandugu naombeni kujua kuhusu mtu anayeahirisha kwenda chuo na alipata mkopo kuna utaratibu gani wa kuufuata?
 
Utaratibu ni kuwaandikia barua na kuwaambia chuo kimekushinda mkopo wako wampe mwingine mwenye vigezo lakini kwabahati mbaya akakosa.
 
Kama hujasaini kuupokea mkopo huo hapo chuoni wewe ndo bas tena no more lkn km tiyar itabidi uctishe
 
kitendo cha kuto update information zako katika mwaka ni hatua sahihi mojawapo ya kusimamisha mkopo wako!

thanks.. wijma
 
Last edited by a moderator:
We ndo usahau kupata mkopo mazima kama hujaenda chuo na mkopo ushatoka angalia loan officer anaweza kuwwa keshainhiz kitu kibindon coz ulisha sign mkataba na Heslb
 
nenda newpost wenzio wanaukta mkuyange kuondoa usumbufu ..ukiona unasumbuka wala usipate shida soma
////////////////////'aukata.......wake kuondoa matatizo?????????????/
 
We ndo usahau kupata mkopo mazima kama hujaenda chuo na mkopo ushatoka angalia loan officer anaweza kuwwa keshainhiz kitu kibindon coz ulisha sign mkataba na Heslb

una mtaji huko unakoenda? kama huna mtaji chukua hiyo hela ukafanye mtaji,ongea na loan officer uwe unasign hilo bumu likusaidie mbele ya safari
 
Back
Top Bottom