Anayejua kinachoendelea stand ya daladala Kilombero Arusha

Royal Son

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2016
Posts
1,677
Reaction score
3,174
Naona Stand imezungushiwa mabati abiria hawajui wanapandia wapi Daladala zinapaki popote mjini hasa mida ya jioni jam
KWA MWENYE TAARIFA ZAIDI
 
Naona Stand imezungushiwa mabati abiria hawajui wanapandia wapi Daladala zinapaki popote mjini hasa mida ya jioni jam
KWA MWENYE TAARIFA ZAIDI
Wanajenga soko jingine la kilombero na stendi ya daladala inaboreshwa
 
Hv kuna utofauti gn na Ukiandika mara moja tuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…