Anayejua kuhusu post graduate diploma

Anayejua kuhusu post graduate diploma

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
anayejua kuhusu hii naomba anielezee kwamba inatolewa na vyou gani hapa tanzania, na je mtu ukiwa nayo ni sawa na mtu mwenye degree ya kawaida ama vp au ina advantage/disadvantage gani ukicompare na degrree ya kawaida
 
na pia inachukua muda gani kuisoma.....shukrani
 
Postgraduate Diploma ni pana.we unaulizia ya masomo gani?education,law,mass com,taxation,engineering,finance,Human resources etc.
Mara nyingi huwa ni mwaka 1.
Vyuo vikuu vyote na Taasisi kama TIA,IFM wanatoa PGDipl. Kulingana na masomo wanayotoa.
 
POST GRADUATE DIPLOMA ni Kiwango cha elimu baada ya kumaliza DEGREE(SHAHADA), kinachotolewa kutokana na sababu zifuatazo 1.kutaka kubadilisha fani 2.kutokuwa na G.P.A ya kutosha ya kusoma MASTERS ,vyuo vinavyotoa POST GRADUATE DIPLOMA ni kama UDSM,MUCCoBS,TIA,IFM,
 
Nadhani hapa sihitaji kuongeza kitu!
 
thatha kwa nini ubadilxhe fan, komaa m'baba uxikimbie tatzo.
 
POST GRADUATE DIPLOMA ni Kiwango cha elimu baada ya kumaliza DEGREE(SHAHADA), kinachotolewa kutokana na sababu zifuatazo 1.kutaka kubadilisha fani 2.kutokuwa na G.P.A ya kutosha ya kusoma MASTERS ,vyuo vinavyotoa POST GRADUATE DIPLOMA ni kama UDSM,MUCCoBS,TIA,IFM,[
/QUOTE]

udom pia wanatoa postgraduat
e diploma in education (pgde)
 
Pamoja sana mkuu
 
POST GRADUATE DIPLOMA ni Kiwango cha elimu baada ya kumaliza DEGREE(SHAHADA), kinachotolewa kutokana na sababu zifuatazo 1.kutaka kubadilisha fani 2.kutokuwa na G.P.A ya kutosha ya kusoma MASTERS ,vyuo vinavyotoa POST GRADUATE DIPLOMA ni kama UDSM,MUCCoBS,TIA,IFM,

Kumbe inawezekana ukawa na mawazo mazuri namna hii.., kilichokuwa kinakufanya unapoteza muda kwa kuandika pumba kwa ile id nyingine ni nini.!? Hongera kwa kubadilika
 
Pamoja sana Baba V
 
Kumbe inawezekana ukawa na mawazo mazuri namna hii.., kilichokuwa kinakufanya unapoteza muda kwa kuandika pumba kwa ile id nyingine ni nini.!? Hongera kwa kubadilika

Hahahahahahah mkuu husahauu?
 
POST GRADUATE DIPLOMA ni Kiwango cha elimu baada ya kumaliza DEGREE(SHAHADA), kinachotolewa kutokana na sababu zifuatazo 1.kutaka kubadilisha fani 2.kutokuwa na G.P.A ya kutosha ya kusoma MASTERS ,vyuo vinavyotoa POST GRADUATE DIPLOMA ni kama UDSM,MUCCoBS,TIA,IFM,

Kuna mtu nilimwambia kuwa kama GPA haitoshi kusoma Masters unasoma Postgraduate Diploma, wacha abishe! Akasema hakuna kitu kama hicho! Ukiwa huna GPA ya kusoma Masters hakuna altenative ya kusonga mbele unless usome degree ya kozi nyingine ili upate hiyo GPA. Some people bana! Wajuajiiiii!
 
Alikuwa anakubishia mwambie sasa na evidence ni kutoka kwangu mimi
 
Are you credible enough to give such evidence? #just kidding#

Nikipata muda ntasearch entry requirement za Masterz nikipata ya "Post Graduate Diploma" ndo ntampatia hiyo link kama electronic evidence.
 
Labda kuongeza ni idadi ya vyuo vinavyotoa maana kuna kama ITA, BAGAMOYO etc.
 
good replies wakuu.. kuna uzi mwingine mtu kauliza kuhusu gharama za postgraduate... enewei, me mwenyewe I kind of want to change my profession niwe na tudigrii twingitwingi..
haya anaejua twendeeee
 
Back
Top Bottom