Anayejua ma godown ya pipi za jumla kwa carton carton, agent anayewasambazia watu wa maduka ya jumla au wanapochukulia wale wenye maduka ya jumla

Anayejua ma godown ya pipi za jumla kwa carton carton, agent anayewasambazia watu wa maduka ya jumla au wanapochukulia wale wenye maduka ya jumla

Joined
Jun 15, 2019
Posts
27
Reaction score
17
Ninaomba kwa anayejua eneo lililopo godown la pipi za jumla au wasambazaji wakubwa wa pipi za jumla Arusha, ambao wanahusika na kuwasambazia watu wa maduka ya jumla naomba anipe connection.
 
Back
Top Bottom