Daniel Aloyce Daniel Member Joined Jun 15, 2019 Posts 27 Reaction score 17 Jul 19, 2023 #1 Ninaomba kwa anayejua eneo lililopo godown la pipi za jumla au wasambazaji wakubwa wa pipi za jumla Arusha, ambao wanahusika na kuwasambazia watu wa maduka ya jumla naomba anipe connection.
Ninaomba kwa anayejua eneo lililopo godown la pipi za jumla au wasambazaji wakubwa wa pipi za jumla Arusha, ambao wanahusika na kuwasambazia watu wa maduka ya jumla naomba anipe connection.