monotheist
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 830
- 1,449
Mshahara 2M non taxable or less accomodations wanakupa, pesa ya chakula wanakupa. mengine ni uvumilivu wako...kuwa makini unapokuwa nchi za watu, acha mapepe, usiwadis wenyeji usije kuwa kama stevo Mkenya wa saudiWakuu kama kuna yeyote aliyewahi fanya kazi za security au anayejua mazingira ya kazi za security maeneo ya Dubai na Oman anipe mrejesho maana kuna dili nimepata huko ili nijue kama pananifaa au laah
Stevo alifanya nini mkuu? Tujiuze kidogoMshahara 2M non taxable or less accomodations wanakupa, pesa ya chakula wanakupa. mengine ni uvumilivu wako...kuwa makini unapokuwa nchi za watu, acha mapepe, usiwadis wenyeji usije kuwa kama stevo Mkenya wa saudi
Sipendi tabia ya mtu kugusia jambo kisha haelezei vizuri.Stevo alifanya nini mkuu? Tujiuze kidogo
Stevo alifanya nini mkuu? Tujiuze kidogo
Una kisirani cha mimba wewe.Sipendi tabia ya mtu kugusia jambo kisha haelezei vizuri.
hakuna houth Omani wewe..... wao wengi ni madhehebu ya Ibadhi au SunniNenda Dubai mkuu patakufaa coz ni international city,
Lakin huko Oman unaweza jikuta umejinga na houthi
Ni tukio linamhusu mkenya anaeitwa Stephen Bertrand Munyakho (50 years of age)almaarufu kama "Stevo" ambaye alipatikana na hatia ya mauwaji ya raia wa Yemen mnamo mwaka 2011 na kuwekwa kifungoni kwa miaka 13 na hatimae kuhukumiwa adhabu ya kifo kwa kukatwa kichwa (decapitation)ambayo ilitakiwa kutekelezwa jumatano ya majuzi mwezi huu wa tano mwaka 2024.Stevo alifanya nini mkuu? Tujiuze kidogo
Ujinga ni maradhi. Huyo mvimba ubongo usingemjibu.hakuna houth Omani wewe..... wao wengi ni madhehebu ya Ibadhi au Sunni
Shukrani kwa kunifahamisha aisee ni tukio la kusisimua kwa kweli. Ila hio fidia sio mchezo ndugu watamudu kweli dolla 1m ni kama 2.5b za kibongoNi tukio linamhusu mkenya anaeitwa Stephen Bertrand Munyakho (50 years of age)almaarufu kama "Stevo" ambaye alipatikana na hatia ya mauwaji ya raia wa Yemen mnamo mwaka 2011 na kuwekwa kifungoni kwa miaka 13 na hatimae kuhukumiwa adhabu ya kifo kwa kukatwa kichwa (decapitation)ambayo ilitakiwa kutekelezwa jumatano ya majuzi mwezi huu wa tano mwaka 2024.
Tukio la mauwaji lilitokea katika ufukwe wa hotel ya kitalii itwayo Red Sea tourist resort ambapo stephen alijikuta katika marumbano yaliyolipuka na kuwa ugomvi na mwanaume huyo ambaye alishika kifaa chenye ncha kali ambacho hutumika kufungulia bahasha na kutaka kumshambulia nacho lakini Stephen aliweza kumkabili na kukitwa kisha kujibu mashambulizi na kumdhuru tukio ambalo lilileta maafa ya kifo upande wa mwanaume huyo.
Familia ya Stevo kupitia serikali ya Kenya imepambana kuiomba serikali ya Saudi Arabia kusitisha hukumu hiyo na kufanya mazungumzo na familia ya Marehemu ili kufanya malipo maalumu ambayo huitwa "Diay (Blood money)ambayo hutumika kama kifuta machozi na kuomba msamaha kwa familia ya marehemu ili watoe msamaha ambao utatumika kufuta kesi mahakamani na kumuachia huru mhukumiwa.
Pesa inayotakiwa ni dola million 1 ambayo itatakiwa kulipwa kabla ya tarehe 15 May.
Sijapata updates ya hiyo issue so far kujua kama pesa imepatikana na jamaa kupewa msamaha ama la.
Ni tukio linamhusu mkenya anaeitwa Stephen Bertrand Munyakho (50 years of age)almaarufu kama "Stevo" ambaye alipatikana na hatia ya mauwaji ya raia wa Yemen mnamo mwaka 2011 na kuwekwa kifungoni kwa miaka 13 na hatimae kuhukumiwa adhabu ya kifo kwa kukatwa kichwa (decapitation)ambayo ilitakiwa kutekelezwa jumatano ya majuzi mwezi huu wa tano mwaka 2024.