Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
Naomba wale wataalam wa kimahesabu watuchakatie tujue makisio ya ongezeko la mshahara mwaka 2023/2024
Tukiwa kwenye majukwaa kama hivi si mbaya kujua Kwa sababu iliishatangazwa kianzio kutoka 300k-370k TSH.
Rejea hotuba ya waziri wa fedha bungeni.
Sasa tujie hizi
Naomba kuwasilisha
Siti ya dirishani kabisaNaomba wale wataalam wa kimahesabu watuchakatie tujue makisio ya ongezeko la mshahara mwaka 2023/2024
Tukiwa kwenye majukwaa kama hivi si mbaya kujua Kwa sababu iliishatangazwa kianzio kutoka 300k-370k TSH.
Rejea hotuba ya waziri wa fedha bungeni.
Sasa tujie hizi
Naomba kuwasilisha
TGTS ni Waalimu labda sema TGSOfisi ya CAG wanaondolewa kwenye TGTS wanapelekwa kwenye level level zingine
Watajua na salary nzuri km zingine zenye maziwa na asali
Mwalimu upo frustrated sana... hiyo ni mwaka jana ilitoka 300 to 370K kima cha chini!!Naomba wale wataalam wa kimahesabu watuchakatie tujue makisio ya ongezeko la mshahara mwaka 2023/2024
Tukiwa kwenye majukwaa kama hivi si mbaya kujua Kwa sababu iliishatangazwa kianzio kutoka 300k-370k TSH.
Rejea hotuba ya waziri wa fedha bungeni.
Sasa tujie hizi
Naomba kuwasilisha
Kwa idara zinazojitegemea...serikali kuu na halmashauri haijazidi 50KNikisema itakua lamli sina uhakika,
Ila kuna jamaa kutoka ofisi flani Basic alikua anachukua 750K na wamepewa barua mzigo kuanzia mwezi wa 7 ni 1.1 Mil. Basic Kwa level ya Bachelor.
Yupo Dodoma.
Nikisema itakua lamli sina uhakika,
Ila kuna jamaa kutoka ofisi flani Basic alikua anachukua 750K na wamepewa barua mzigo kuanzia mwezi wa 7 ni 1.1 Mil. Basic Kwa level ya Bachelor.
Yupo Dodoma.
Naomba wale wataalam wa kimahesabu watuchakatie tujue makisio ya ongezeko la mshahara mwaka 2023/2024
Tukiwa kwenye majukwaa kama hivi si mbaya kujua Kwa sababu iliishatangazwa kianzio kutoka 300k-370k TSH.
Rejea hotuba ya waziri wa fedha bungeni.
Sasa tujie hizi
Naomba kuwasilisha
Angalia isije kuwa unasema hivyo halafu wewe huna hata huo mshahara kwa mwezi wala income yoyote, kama yule mwingine aliyekuwa anajimwambafai humu kumbe anatamani ajiraMama Edina, mimi nakuombea kwa Mungu ufunguke, Yani siku 25 unafanya kazi kwa kudamka and mwisho unapata 380,000?
Kweli ukijipanga sokoni vizuri, kwa sala, na maombi, ukauza hata viazi, unatoa 450,000 kwa mwezi.
Hivi umpe mtu 380,000 kwa mwezi hapa dar es salaam, binti ajaolewa, analea ndugu, wazazi, maisha sio fair.
Angalia isije kuwa unasema hivyo halafu wewe huna hata huo mshahara kwa mwezi wala income yoyote, kama yule mwingine aliyekuwa anajimwambafai humu kumbe anatamani ajira
Kwasababu hii ni JF bhana [emoji23][emoji23][emoji23]
Acha uhaya wewe [emoji23]Nimeacha ajira ya over 1.5m net kabla ujazaliwa. Ninasema ninachojua, Ndo maana walimu wanakufa maskini.
380,000 mjini, nauli, chakulq, na kila kitu, umuweka mtu mzima kutwa na foleni, anaishije?
NOTE: Kabla ujazaliwa, wakati ndo Baba yako anaenda lipa mahari aliyokopeshwa na Mama yako ambayo mpaka leo ajalipa.
NdioTGTS ni Waalimu labda sema TGS
Hapo hiyo 300K ukatumie300k-370k TSH.
Rejea hotuba ya waziri wa fedha bungeni.
Duuuh aiseeNimeacha ajira ya over 1.5m net kabla ujazaliwa. Ninasema ninachojua, Ndo maana walimu wanakufa maskini.
380,000 mjini, nauli, chakulq, na kila kitu, umuweka mtu mzima kutwa na foleni, anaishije?
NOTE: Kabla ujazaliwa, wakati ndo Baba yako anaenda lipa mahari aliyokopeshwa na Mama yako ambayo mpaka leo ajalipa.
.....ujazaliwa❌Nimeacha ajira ya over 1.5m net kabla ujazaliwa. Ninasema ninachojua, Ndo maana walimu wanakufa maskini.