Anayejua mishahara ya TCRA na BOT

Anayejua mishahara ya TCRA na BOT

Hahaha! Mkuu mambo vipi? Naona umekuja kwa kasi sana kutaka kujua kama jamaa ameshauaga ujobless na umasikini kwa wakati mmoja.
😂😂😂😂Aseeh kwema kiongozi nimeona jobless anauliza mshahara sasa nikavurugwa sana nikawaza amepata sehemu ambako hela zinapikwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aseeh kwema kiongozi nimeona jobless anauliza mshahara sasa nikavurugwa sana nikawaza amepata sehemu ambako hela zinapikwa

Hahaha! Nimecheka sana.
 
Hahaha! Nimecheka sana.
BOT huko nasikia ndo wanazipika aseeh😂😂😂😂😂na TCRA ndo kwenye mabando huko sasa jobless akatuunge mabando ya mwaka kabisa
 
BOT huko nasikia ndo wanazipika aseeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na TCRA ndo kwenye mabando huko sasa jobless akatuunge mabando ya mwaka kabisa

Hahaha! Sawa Mkuu.
 
naona wenginre washaanza kuingizia mambo ya uwanja wa fisi na kimboka via riverside😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
 
Kuna jamaa yetu yuko BOT kitengo cha uhasibu,aliniambia kwa mwenye bachelor of account na cpa anaanza na 1.6m.ila viposho vipo vingi maana yeye yuko kwenye kitengo cha kusafirisha pesa.naona maisha yake sio haba hapo Dodoma.
 
Mishahara yao sijui ila nafahamu TCRA per diem zao ni 250K kwa officers (entry level)

Mara nyingi per diem hua ina reflect mshahara. Hii taarifa ni hearsay kutoka kwa mdau aliyepo, sijaverify
 
Back
Top Bottom