Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Kwa namna Timu za Tz nilivyoziangalia hasa Simba na Yanga, ni dhahiri shairi hakuna combination kwa timu zote mbili.Kila timu bado haina muunganiko na wachezaji hawako tayari kiushindani kutokana na kuchelewa kufanya maandalizi na mashindano ya Caf kuanza mapema tofauti na ilivyo kuwa awali.
Yanga bado tukijiandaa na wachezaji kuelewana Vizuri tunanafasi ya kusonga mbele tofauti na wengi wanaotubeza,pale kwenye ulinzi akiongezeka Kelvin Yondani ulinzi utaimarika vizuri zaidi,na tunaweza kupata matokeo ugenini.
Simba kama Yanga tu,niliwaangalia leo,game wangeweza kuiua Mozambique maana wale wamakonde ni wa kawaida sana japo walipata nafasi kadhaa hawakuzitumia vema, ila kwanamna Timu isivyo na muunganiko, wale jamaa nao wanaweza kuja napotelea mbali wakapata matokeo taifa.
Hii michuano itasurprise wengi,ngoja niishie hapo.
Tuwe na akiba ya maneno na wacheza rede pekee ndiyo wanasema tumepewa penaties